Teknolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 123 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11016 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|Katika nusu ya pili ya [[karne ya 20]] wanadamu walifaulu kutumia teknolojia mbalimbali kuwafikisha watu kwenye [[anga la nje]].]]
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|Katika nusu ya pili ya [[karne ya 20]] wanadamu walifaulu kutumia teknolojia mbalimbali kuwafikisha watu kwenye [[anga la nje]].]]
'''Teknolojia''' ni [[elimu]] inayohusu [[uhandisi]], [[ufundi]], [[ujenzi]], vifaa na mbinu za [[uzalishaji]] wa vifaa na huduma katika [[jamii]].


Asili ya [[neno]] ni [[Kigiriki]] "τέχνη" (''tamka: tékhne''): „uwezo, usanii, ufundi".
'''Teknolojia''' ni elimu inayohusu [[uhandisi]], [[ufundi]], [[ujenzi]], vifaa na mbinu za uzalishaji wa vifaa na huduma katika jamii.

Asili ya neno ni [[Kigiriki]] "τέχνη" (''tamka: tékhne''): „uwezo, usanii, ufundi".


Teknolojia inaweza kumaanisha:
Teknolojia inaweza kumaanisha:
* vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu
* vifaa na [[mashine]] zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu
* elimu ya matumizi yake pamoja na mbinu na maarifa jinsi ya kutumia sayansi
* elimu ya matumizi yake pamoja na mbinu na maarifa jinsi ya kutumia [[sayansi]]
* uwezo wa kubadili malighafi asilia na kuwa bidhaa yenye thamani inayoweza kukidhi mahitaji ya binaadamu. Hapa bidhaa haimaanishi tu vitu kama magodoro, magari ya kutembelea,unga wa ngano n.k, la hasha ni huduma yeyote inayotolewa kwa jamii mfano huduma ya usafiri, huduma ya utalii, huduma ya chakula, na pamoja na vitu vyote vinavyozalishwa viwandani.
* uwezo wa kubadili malighafi asilia na kuwa [[bidhaa]] yenye [[thamani]] inayoweza kukidhi mahitaji ya [[binadamu]]. Hapa bidhaa haimaanishi tu vitu kama [[godoro|magodoro]], [[Gari|magari]] ya kutembelea, [[unga]] wa [[ngano]] n.k., la hasha: ni huduma yoyote inayotolewa kwa jamii, mfano huduma ya [[usafiri]], huduma ya [[utalii]], huduma ya [[chakula]], na pamoja na vitu vyote vinavyozalishwa [[viwanda|viwandani]].

==Tazama pia==
* [[Historia ya teknolojia]]


{{Sayansi}}
* ''Tazama pia:'' [[Historia ya teknolojia]]


[[Jamii:Teknolojia|!]]
[[Jamii:Teknolojia|!]]

Pitio la 14:02, 15 Januari 2017

Katika nusu ya pili ya karne ya 20 wanadamu walifaulu kutumia teknolojia mbalimbali kuwafikisha watu kwenye anga la nje.

Teknolojia ni elimu inayohusu uhandisi, ufundi, ujenzi, vifaa na mbinu za uzalishaji wa vifaa na huduma katika jamii.

Asili ya neno ni Kigiriki "τέχνη" (tamka: tékhne): „uwezo, usanii, ufundi".

Teknolojia inaweza kumaanisha:

  • vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu
  • elimu ya matumizi yake pamoja na mbinu na maarifa jinsi ya kutumia sayansi
  • uwezo wa kubadili malighafi asilia na kuwa bidhaa yenye thamani inayoweza kukidhi mahitaji ya binadamu. Hapa bidhaa haimaanishi tu vitu kama magodoro, magari ya kutembelea, unga wa ngano n.k., la hasha: ni huduma yoyote inayotolewa kwa jamii, mfano huduma ya usafiri, huduma ya utalii, huduma ya chakula, na pamoja na vitu vyote vinavyozalishwa viwandani.

Tazama pia