Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:gobori.jpg|thumb|300px|Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto ]]
[[picha:gobori.jpg|thumb|300px|Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto ]]
[[Picha:Bössa med flintsnapplås, variant av hakspännslåset, Frankrike ca 1630 - Livrustkammaren - 19102.tif|300px|thumb|Gobori ]]
[[Picha:Bössa med flintsnapplås, variant av hakspännslåset, Frankrike ca 1630 - Livrustkammaren - 19102.tif|300px|thumb|Gobori ]]
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya kimsingi ambako [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya msingi ambayo [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye [[mdomo]] wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha [[moto]] kwenye [[shimo]] upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.


Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga|mizinga]] zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. Menginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotumiwa kwa michezo au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uvindaji haramu.
Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga|mizinga]] zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. Vinginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotumiwa kwa [[michezo]] au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uwindaji haramu.


Kijeshi silaha hizi hazitumiwi tena tangu karne ya 19 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]] si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.
Kijeshi silaha hizo hazitumiwi tena tangu [[karne ya 19]] kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]], si haraka zaidi kama [[askari]] ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
*[[Silaha za moto]]
*[[Silaha za moto]]
*[[bunduki]]
*[[Bunduki]]
*[[risasi]]
*[[Risasi]]
*[[baruti]]
*[[Baruti]]


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.nmlra.org/ National Muzzle Loading Rifle Association]
*[http://www.nmlra.org/ National Muzzle Loading Rifle Association]
*[http://www.mlagb.com/ Muzzle Loaders association of Great Britain]
*[http://www.mlagb.com/ Muzzle Loaders association of Great Britain]

Pitio la 07:54, 15 Januari 2017

Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto
Gobori

Gobori ni silaha ya moto asilia. Ni aina ya bunduki ya msingi ambayo risasi pamoja na baruti zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa kasiba ya silaha na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia ramia zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.

Hadi leo kuna aina kadhaa za mizinga zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. Vinginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotumiwa kwa michezo au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uwindaji haramu.

Kijeshi silaha hizo hazitumiwi tena tangu karne ya 19 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa dakika, si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.

Tazama pia

Viungo vya nje