Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
→‎Blume des Monats: mjadala mpya
Tag: MassMessage delivery
Mstari 194: Mstari 194:


Viele Grüße, --'''[[Mtumiaji:Holder|Holder]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Holder|majadiliano]])''' 08:15, 2 Desemba 2016 (UTC)
Viele Grüße, --'''[[Mtumiaji:Holder|Holder]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Holder|majadiliano]])''' 08:15, 2 Desemba 2016 (UTC)

== Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global survey ==

<div class="plainlinks mw-content-ltr" lang="en" dir="ltr">
Hello! The Wikimedia Foundation is asking for your feedback in a survey. We want to know how well we are supporting your work on and off wiki, and how we can change or improve things in the future.<ref>This survey is primarily meant to get feedback on the Wikimedia Foundation's current work, not long-term strategy.</ref> The opinions you share will directly affect the current and future work of the Wikimedia Foundation. You have been randomly selected to take this survey as we would like to hear from your Wikimedia community. To say thank you for your time, we are giving away 20 Wikimedia T-shirts to randomly selected people who take the survey.<ref>Legal stuff: No purchase necessary. Must be the age of majority to participate. Sponsored by the Wikimedia Foundation located at 149 New Montgomery, San Francisco, CA, USA, 94105. Ends January 31, 2017. Void where prohibited. [[m:Community Engagement Insights/2016 contest rules|Click here for contest rules]].</ref> The survey is available in various languages and will take between 20 and 40 minutes.


<big>'''[https://wikimedia.qualtrics.com/SE/?SID=SV_6mTVlPf6O06r3mt&Aud=VAE&Src=70VAESSAe Take the survey now!]'''</big>


You can find more information about [[m:Community_Engagement_Insights/About_CE_Insights|this project]]. This survey is hosted by a third-party service and governed by this [[:foundation:Community_Engagement_Insights_2016_Survey_Privacy_Statement|privacy statement]]. Please visit our [[m:Community_Engagement_Insights/Frequently_asked_questions|frequently asked questions page]] to find more information about this survey. If you need additional help, or if you wish to opt-out of future communications about this survey, send an email to surveys@wikimedia.org.

Thank you!
--[[:m:User:EGalvez (WMF)|EGalvez (WMF)]] ([[:m:User talk:EGalvez (WMF)|talk]]) 23:30, 13 Januari 2017 (UTC)
</div>
<!-- Message sent by User:EGalvez (WMF)@metawiki using the list at https://meta.wikimedia.org/w/index.php?title=Community_Engagement_Insights/MassMessages/Lists/2016/70-VAESSAe&oldid=16205414 -->

Pitio la 23:30, 13 Januari 2017

Majadiliano ya zamani yanaonekana kulingana na miaka:



Update on Upcoming Wiki Indaba Conference

Hello Sir. My name is Rexford Nkansah, currently serving as a Wikipedian in Residence at the Africa Centre in Cape Town.

The Wikimedia Foundation has shared with us the incredible number of edits that you have done on this Wikipedia. You have are one of those with the high contribution to this Wikipedia.

As one of the highest contributors to one of the languages of the African continent, I want to inform you about the upcoming Wiki Indaba Conference which is similar to Wikimania, however, its designed by Africans for Africans.

This message is to inform you about scholarship to attend application currently open. You're invited to apply for scholarship to attend this conference.

Please see the main Wiki Indaba Website for more details on Eligibility and Deadline – look at www.wikiindaba.net for more details. And like the facebook page for updates.

Please don't hesitate to get in touch should you have any questions.

my contact is rexford[@]wikiafrica.net

Naomba ushirikiano wako!

Mpendwa, nakuomba uangalie baada ya siku 2,3 kurasa hizi mbili:

1. Wikipedia:Wakabidhi#Kusafisha_orodha_ya_Wakabidhi_mwaka_2014
2. Wikipedia:Ukurasa_wa_jumuia#Wiki_Indaba_2014

Kuhusu 1) napendekeza kuwachagua wakabidhi wapya na kuondoa wale waliomo katika orodha ya wakabidhi lakini hawakuwepo tangu miaka 2.

Kuhusu 2): nahitaji msaada na mawazo yenu. Nitashiriki kwenye mkutano wa Wikimedia mwezi wa Juni. Inaonekana mimi ndipo mchnagiaji wa pekee kutoka Wikipedia yetu. Ninajitahidi kupeleka mawazo ya jumuiya yetu. Naomba michango!

Nitaongeza karibuni mawazo yangu kuhusu mambo ninayoona kuwa na maana kwa mtazamo wangu. Ujumb huu natuma kwa wachangiaji wanaoonekana katika orodha ya wachangiaji hai waliochangia zaidi ya mara 3 katika siku 30 zilizopita!

Ndimi wako Kipala (majadiliano) 20:17, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Kura kwa Malangali

Salaam, Baba Tabita. Nimekuwa alifanya mabadiliko hayo: [1]. Wasalaam, --Cekli829 (majadiliano) 14:04, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Jumuiya

Salaam naomba utazame hapa: Wikipedia:Ukurasa_wa_jumuia#Salamu_kutoka_mkutano_wa_Wikiindaba_mjini_Johannesburg.2C_Afrika_Kusini Kipala (majadiliano) 11:15, 24 Juni 2014 (UTC)[jibu]

An important message about renaming users

Dear Baba Tabita, My aplogies for writing in English. Please translate or have this translated for you if it will help. I am cross-posting this message to many places to make sure everyone who is a Wikimedia Foundation project bureaucrat receives a copy. If you are a bureaucrat on more than one wiki, you will receive this message on each wiki where you are a bureaucrat.

As you may have seen, work to perform the Wikimedia cluster-wide single-user login finalisation (SUL finalisation) is taking place. This may potentially effect your work as a local bureaucrat, so please read this message carefully.

Why is this happening? As currently stated at the global rename policy, a global account is a name linked to a single user across all Wikimedia wikis, with local accounts unified into a global collection. Previously, the only way to rename a unified user was to individually rename every local account. This was an extremely difficult and time-consuming task, both for stewards and for the users who had to initiate discussions with local bureaucrats (who perform local renames to date) on every wiki with available bureaucrats. The process took a very long time, since it's difficult to coordinate crosswiki renames among the projects and bureaucrats involved in individual projects.

The SUL finalisation will be taking place in stages, and one of the first stages will be to turn off Special:RenameUser locally. This needs to be done as soon as possible, on advice and input from Stewards and engineers for the project, so that no more accounts that are unified globally are broken by a local rename to usurp the global account name. Once this is done, the process of global name unification can begin. The date that has been chosen to turn off local renaming and shift over to entirely global renaming is 15 September 2014, or three weeks time from now. In place of local renames is a new tool, hosted on Meta, that allows for global renames on all wikis where the name is not registered will be deployed.

Your help is greatly needed during this process and going forward in the future if, as a bureaucrat, renaming users is something that you do or have an interest in participating in. The Wikimedia Stewards have set up, and are in charge of, a new community usergroup on Meta in order to share knowledge and work together on renaming accounts globally, called Global renamers. Stewards are in the process of creating documentation to help global renamers to get used to and learn more about global accounts and tools and Meta in general as well as the application format. As transparency is a valuable thing in our movement, the Stewards would like to have at least a brief public application period. If you are an experienced renamer as a local bureaucrat, the process of becoming a part of this group could take as little as 24 hours to complete. You, as a bureaucrat, should be able to apply for the global renamer right on Meta by the requests for global permissions page on 1 September, a week from now.

In the meantime please update your local page where users request renames to reflect this move to global renaming, and if there is a rename request and the user has edited more than one wiki with the name, please send them to the request page for a global rename.

Stewards greatly appreciate the trust local communities have in you and want to make this transition as easy as possible so that the two groups can start working together to ensure everyone has a unique login identity across Wikimedia projects. Completing this project will allow for long-desired universal tools like a global watchlist, global notifications and many, many more features to make work easier.

If you have any questions, comments or concerns about the SUL finalisation, read over the Help:Unified login page on Meta and leave a note on the talk page there, or on the talk page for global renamers. You can also contact me on my talk page on meta if you would like. I'm working as a bridge between Wikimedia Foundation Engineering and Product Development, Wikimedia Stewards, and you to assure that SUL finalisation goes as smoothly as possible; this is a community-driven process and I encourage you to work with the Stewards for our communities.

Thank you for your time. -- Keegan (WMF) talk 18:24, 25 Agosti 2014 (UTC)[jibu]

--This message was sent using MassMessage. Was there an error? Report it!

Kupakia mafaili, Sogora ya kupakia?

Wikimedia Commons logo

Hello! Sorry for writing in English. As you're an administrator here, please check the message I left on MediaWiki talk:Licenses and the village pump. Thanks, Nemo 19:22, 18 Septemba 2014 (UTC)[jibu]

Hongera

Michango 40,000 si haba! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:37, 2 Novemba 2014 (UTC)[jibu]

Hongera pia!Kipala (majadiliano) 09:55, 3 Desemba 2014 (UTC)[jibu]
Asanteni, wazee wangu! --Baba Tabita (majadiliano) 13:15, 3 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

Kuhusu mkutano wa Machi 2015 na mawasiliano na WMF

Salaam naomba utazame hapa: Majadiliano_ya_Wikipedia:Wakabidhi#Mawasiliano_na_ofisi_ya_WMF_-_Wikimedia_Foundation_.2F_Asaf_Bartov na kuchangia. Kipala (majadiliano) 09:55, 3 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

Hello! Could you translate an article about boycott of Russian goods in Ukraine for the Swahili Wikipedia? Thanks for the help.--Trydence (majadiliano) 03:21, 11 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

Kurasa juu ya lugha mbalimbali

Ndugu, pamoja na kukupongeza kwa kuingiza habari za lugha duniani, nina shaka kuhusu majina unayotumia. Yaani ukisema k.mf. Kiswahili ya Kusini, naona ingekuwa sahihi kuandika Kiswahili cha Kusini. Au siyo? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:38, 20 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

Asante, ndugu, kwa swali lako. Ninavyoelewa Kiswahili (na nimeangalia kitabu cha sarufi tena), ingawa majina ya lugha huanza na Ki-, hata hivyo kisarufi, majina au maneno hayo hufuata upatanifu wa ngeli ya nomino ya i-/zi-. Hata Waswahili wengine wenyewe hukosea (hasa mtandaoni) lakini ndivyo wataalamu wa sarufi watuambia. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:47, 20 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

Hallo Baba Tabita. Bei deinem Foto fehlt die Angabe einer Lizenz. Ergänze diese doch oder lade dein Foto gleich bei Commons hoch. --Leyo (majadiliano) 22:39, 27 Februari 2015 (UTC)[jibu]

YesY Imefanyika. / Erledigt. --Baba Tabita (majadiliano) 17:54, 4 Machi 2015 (UTC)[jibu]
Danke. Da nun Picha:000 1333 Dodoma Cathedral.JPG besteht, kann die lokale Datei gelöscht werden. --Leyo (majadiliano) 20:00, 4 Machi 2015 (UTC)[jibu]
Okay, danke - ich habe die lokale Datei gelöscht. --Baba Tabita (majadiliano) 06:37, 5 Machi 2015 (UTC)[jibu]

Asante sana! Baba Tabita. Thanks a lot for uploading the photo! dear Baba Tabita. --Aristo Class (majadiliano) 15:58, 5 Machi 2015 (UTC)[jibu]

Mungu ni mwema atawawezesha kwa kila jambo mfanyalo kwa ajili ya kukuza lugha ya kiswahili.--TELESPHORY (majadiliano) 15:27, 27 Machi 2015 (UTC)[jibu]

Thanks and question

Hello, Baba Tabita! Thanks for the welcome message. Would you mind telling me what the Swahili for "hello and welcome" is? Thanks for reading this message. Best wishes!--Alpinu (majadiliano) 21:45, 2 Mei 2015 (UTC)[jibu]

Kigoemai

I don't know Kiswahili, but I want to help Swahili Wikipedia. Please, translate containg, that I'll add on page Kigoemai. Tzschoidheaought (majadiliano) 07:16, 4 Mei 2015 (UTC)[jibu]

Chombo cha kufasiri makala

Salaam, Dk. Stegen, hivi umewahi au hata kutupia jicho hiki chombo kipya cha kufanyia ufasiri? Wallah kimenishngaza. Yaani, nimebaki mdomo wazi baada ya kugundua kinanipunguzia kazi kupita malezo. Ni hayo tu nlitaka kukudokezea kama bado hujathubutu kukigusa. Wasalaam,--MwanaharakatiLonga 06:37, 11 Julai 2015 (UTC) [jibu]

Asante, Ndg. Muddyb, kwa kunikumbusha. Bahati mbaya sitakuwa na nafasi ya kukitupia jicho hicho chombo cha ufasiri kwa muda. Naomba pia unikumbusha kiungo tena. Asante, --Baba Tabita (majadiliano) 20:21, 11 Julai 2015 (UTC)[jibu]
Kiungo chake kinapatikana katika ukurasa wako wa orodha ya michango yako. Hivyo yaani...--MwanaharakatiLonga 20:44, 11 Julai 2015 (UTC)[jibu]
Asante - na tena pole sana. Sijaona "chombo cha kufanyia ufasiri", wala ukurasani mwa orodha ya michango yangu wala mahali pengine. Je, umewahi kukitumia? --Baba Tabita (majadiliano) 09:29, 14 Julai 2015 (UTC)[jibu]
Mahali pa ufasiri

Tazama picha labda utapata wazo...--MwanaharakatiLonga 10:52, 14 Julai 2015 (UTC) [jibu]

Asante kwa picha. Kumbe, sina vibonyezo kama hivyo. Tena nadhani inamaanisha michango ya ufasiri uliofanywa na mtumiaji husika, na siyo chombo cha kufanyia ufasiri kitarakilishi. Siyo GoogleTranslate imetuonyesha kwamba kompyuta haiwezi kufasiri? ;-) --Baba Tabita (majadiliano) 17:22, 14 Julai 2015 (UTC)[jibu]
Hapana. Sio kama Google Translate... Hiyo unafanya mwenyewe.. Ni rahisi mno kuliko ile njia ya zamani.
FAIDA ZAKE
  • Inaunganisha yenyewe viungo vya interwiki kama makala ipo
  • Inaunganisha JAMII au KATEGORIA zote kama makala husika ina vigezo ambavyo sawa
  • Inaondoa viungo vya INTERWIKI vyote ambavyo havipo na kuacha bila kiungo
  • Rahisi kuhariri kuliko mfumo wa zamani
  • Kila kitu kinaingizwa kidijitali zaidi, mfano: picha, kiungo, faili na kadhalika.

ni hayo tu..--MwanaharakatiLonga 18:51, 14 Julai 2015 (UTC) [jibu]

Tafadhali uangalie jamii kuhusu mfumo wa kuanzisha makala

Mpendwa, nakuomba kuaangalia ukurasa wa Jumuiya. Tuliomba wikimedia ya kutpa mfumo wa kuzuia watumiaji wasiojiandikisha wasianzise makala mapya. Kusudi lilikuwa kupunguza idadi ya makala mabaya yasiyotosheleza masharti ya wikipedia ilhali tuko wachache mno kuziangalia. Wikipedia kubwa kadhaa zinatumia utaratibu huu (kama en:wikipedia) lakini sisi tunapaswa kupeleka ombi kwa kamati fulani. Kamati hii wametupa nafasi kwa kipindi ha miezi 6 tu inayokwisha karibuni. Sasa wanakamati wamekuja wanadai tujieleza au watarudisha mfumo huu nyuma. Mimi nikiwa 1 kati ya wachache wanaochugulia makala mapya naona itaturudisha nyuma. Naomba mchangie! Sanaaaaa!! Kipala (majadiliano) 23:34, 10 Septemba 2015 (UTC)[jibu]

Hatua

Ndugu zangu, hongera ninyi nyote kwa kufikia makala 30,000, kazi nzuri! Mlifanya mbio za nyika kweli. Nilisafiri kwa hivyo sikuiona sasa hivi. Tuendelee mpaka hatua ijayo: 40,000. ChriKo (majadiliano) 17:49, 24 Septemba 2015 (UTC)[jibu]


Ombi

Naomba usome hii Majadiliano:Marambo na usahihishe kwenye commons maana kutoka hapa siwezi. Kipala (majadiliano) 20:10, 25 Novemba 2015 (UTC)[jibu]

Tovuti mpya

Salaam Aleikum! Salaamu ulipo.Ninakusihi uimaruimashe tovuti hiiSwahili Wikinews.Mimi ashiki wa Kiswahili nanaomba unisaidie.

Mimi bwamdogo, Upaltez Bin Neema Mimi ni Marekani Jina langu halisi ni Timothy

WMF projects - translation of labels and descriptions

lang=sw : ?lang=sw&props=31,218,219,220,506,1406&q=claim[1800]

Dear Baba Tabita! I have seen your edits at some pages about WMF projects and/or about languages as Malayalam (Q36236) and want to let you know that the number of d:Wikidata:Database reports/WMF projects there is also the page Wikipedia versions has increased to more then 409; there are pages from Wikibook project pages to Wikiversity and Wiktionary project pages. You may be interested in adding labels and descriptions in other languages. Please follow also the discussion at d:property talk:P218 and comment there. Best regards Gangleri also aka I18n (majadiliano) 23:18, 13 Januari 2016 (UTC)[jibu]

Famouse Ukrainian People or maarufu Kiukreni

Hello Baba Tabita! Sorry for writing in English. I don`t understand Swahili. I ask you to contribute with translation into the Swahili language. Could you or other users of your wikipedia translate some articles, that dedicated for prominent figures in Ukraine. The list shown on the page Wikipedia:Makala zilizoombwa. It is equipped interlanguage links and given pronunciation on Latin alphabet.--Yasnodark (majadiliano) 11:36, 10 Aprili 2016 (UTC)[jibu]


THANKS

Thank you for your WELCOME ! --Oberon12 (majadiliano) 05:39, 13 Aprili 2016 (UTC)[jibu]

Karibu sana - you're very welcome! :) --Baba Tabita (majadiliano) 09:02, 13 Aprili 2016 (UTC)[jibu]

Rock Art

Naona umesahihisha michoro ya Kondoa, asante. Natafuta jina kwa ile "rock art". Sanaa ya mwambani? Sanaa mwambani?? Sanaa miambani?? Umewahi kuona kitu? Kipala (majadiliano) 07:44, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]

Nilipokaa Kondoa nilisikia "michoro ya mapango" hasa. Nikatafuta mtandaoni sasa hivi na kupata hata hati ya serikali kutoka mwaka wa 2011 inayozungumzia "Michoro ya Mapango ya Kondoa (Kondoa Rock Art Sites)", angalia hapa. Tovuti nyingine inaiita "Michoro ya Mapangoni", ila habari yenyewe imenakilishwa kutoka wikipedia yetu :) ... Haya, nadhani huwezi kukosa kwa kutumia "michoro ya mapango". Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 11:12, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]
Asante lakini sidhani ni hii. Naona Mwandishi alikuwa na neno la kiingereza "Cave Art" , "Cave Paintings" akilini mwake. Lakini si kawaida Afrika mahali pengi si hasa mapango (jinsi ilivyo Ulaya penye majirabaridi kali) lakini penye kuta za mwamba penye labda kishubaka au chini ya sehemu inayotokeza kidogo. au jinsi nilivyoona hapa Uajemi ukutani moja kwa moja bila kitu cha juu. Nikitaka kuandika juu ya jumla "Michoro ya mapangoni" ni sehemu tu. Naelekea "Sanaa ya miambani", nasubiri Mkenya kama atajibu, huko kuna NGO ya kuhifadhi african rock art. Kipala (majadiliano) 17:04, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]
Haya, fanya unavyoona vema. Hata hivyo, kila lugha hubadilisha maana mara kwa mara. Na ingawa michoro = 'paintings' au 'drawings', na mapango = 'caves', maana ya michoro ya mapango siyo "cave paintings" tu. Kule Kondoa vilevile, michoro imechorwa siyo ndani ya mapango tu. Hata maafisa ya Ofisi ya Kale hutumia istilahi ya michoro ya mapango, tena siyo kwa mdomo tu lakini hata kimaandishi. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 19:29, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]
Tena ukilinganisha sanaa na michoro, utagundua kwamba neno la michoro hutumiwa mara nyingi zaidi kuliko neno la sanaa, k.m. "sanaa ya miambani" iko mara saba tu mtandaoni kulingana na mara 560 kwa "michoro ya miambani". Naomba tuangalie matumizi ya maneno yanavyotumiwa na watu wengi. Asanteni. --Baba Tabita (majadiliano) 19:36, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]
asante kwa ushauri, tazama michoro ya miambani. Bado nahisi ya kwamba "michoro ya mapango" kwa michoro ya Kondoa ni zaidi tafsiri kutoka Kiingereza ambako zamani "cave paintings" ilikuwa kawaida zaidi kuliko "rock art". Maana kile ninachokumbuka cha Kondoa kweli si mapango... (nimesikia kuna mapango huko sehemu ambako sikuenda). michoro ya mapango iko kabisa kuna mingine nje ya mapango na hapo si mara ya kwanza ya kwamba tunapitapita klwenye matope. Asante Kipala (majadiliano) 08:09, 29 Aprili 2016 (UTC)[jibu]

msaada tafadhali

Please write here question in english language why me blocked in russian wikipedia, then wikipedia talk and then wikimail (they not understood what happened and just blocked everywhere) this very easy write (likely me block and in kiswahili wikipedia). CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 08:12, 9 Mei 2016 (UTC)[jibu]

msaada tafadhali

Please write here (this talk user page) question in english language why me blocked in russian wikipedia, then wikipedia talk and then wikimail (they not understood what happened and just blocked everywhere) this very easy write (likely me block and in kiswahili wikipedia). CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 22:11, 17 Mei 2016 (UTC)[jibu]

Lugha na eneo?

Baba Tabita, salaam. Kwa kupitapita kwenye makala mpya za lugha nimepata swali: katika nchi kubwa kama China hii lugha fulano inajadiliwa wapi? Kwnag ingekuwa msaada kama unaweza kutaja mikoa au maeneo, majimbo ambako lugha fulani inatumiwa. Hii igesaidia pia kama siku moja tunafia kwenye makala kuhusu maeneo mbalimbali. Uwezekano upo, je? Kipala (majadiliano) 21:49, 6 Oktoba 2016 (UTC)[jibu]

Mzee Kipala, salaam kwako, na asante kwa ujumbe. Kweli, kutaja eneo ambamo lugha fulani huzungumzwa kungefaa sana. Hata hivyo, nimeamua kuendelea na mfumo nilioutunga kwa ajili ya lugha. Nitakapokuwa nimemaliza makala za lugha nitaendelea na makala kuhusu makabila. Katika maoni yangu itafaa zaidi kutaja eneo ambamo watu fulani huishi, na kutaja lugha ambazo hao watu huziongea ndani ya makala ya kabila. Naomba mnivumilie. Ni kazi kubwa sana ambayo nimeshaishughulikia kwa miaka sita na kuendelea. Hatua kwa hatua ... Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 20:44, 7 Oktoba 2016 (UTC)[jibu]

Blume des Monats

Mbigili

Hallo Baba Tabita,

für dein großes Engagement für die Swahili Wikipedia verleihe ich dir die Blume des Monats.

Viele Grüße, --Holder (majadiliano) 08:15, 2 Desemba 2016 (UTC)[jibu]

Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global survey

  1. This survey is primarily meant to get feedback on the Wikimedia Foundation's current work, not long-term strategy.
  2. Legal stuff: No purchase necessary. Must be the age of majority to participate. Sponsored by the Wikimedia Foundation located at 149 New Montgomery, San Francisco, CA, USA, 94105. Ends January 31, 2017. Void where prohibited. Click here for contest rules.