Israel : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21: Mstari 21:
|area_magnitude = 1 E10
|area_magnitude = 1 E10
|percent_water = ~2
|percent_water = ~2
|population_estimate = 8,238,300<sup>2</sup>
|population_estimate = 8,602,000<sup>2</sup>
|population_estimate_year = Desemba 2014
|population_estimate_year = Desemba 2016
|population_estimate_rank = ya 96
|population_estimate_rank = ya 96
|population_census = 7,412,200
|population_census = 7,412,200
|population_census_year = 2008
|population_census_year = 2008
|population_density = 387.63
|population_density = 391
|population_density_rank = ya 34
|population_density_rank = ya 35
|GDP_PPP_year = 2006
|GDP_PPP_year = 2006
|GDP_PPP = $177.3 billioni
|GDP_PPP = $177.3 billioni
Mstari 55: Mstari 55:
'''Israel''' (kwa [[Kiebrania]]: '''מדינת ישראל''' - ''Medinat Yisra'el''; kwa [[Kiarabu]]: '''دَوْلَةْ إِسْرَائِيل''' - ''dawlat Isrā'īl'') ni nchi ya [[Mashariki ya Kati]] kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] wa [[Mediteranea]].
'''Israel''' (kwa [[Kiebrania]]: '''מדינת ישראל''' - ''Medinat Yisra'el''; kwa [[Kiarabu]]: '''دَوْلَةْ إِسْرَائِيل''' - ''dawlat Isrā'īl'') ni nchi ya [[Mashariki ya Kati]] kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] wa [[Mediteranea]].


Imepakana na [[Lebanon]], [[Syria]], [[Yordani]], [[Misri]] na maeneo chini ya [[mamlaka]] ya [[serikali]] ya [[Palestina]].
Imepakana na [[Lebanon]], [[Syria]], [[Yordani]], [[Misri]] na maeneo yaliyo chini ya [[mamlaka]] ya [[serikali]] ya [[Palestina]].


==Historia==
==Historia==
Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe [[14 Mei]] [[1948]] lakini nyuma kuna [[historia]] ndefu.
Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe [[14 Mei]] [[1948]] lakini nyuma kuna [[historia]] ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na [[Biblia]] kama [[kiini]] cha [[historia ya wokovu]].


[[Mji mkuu]] umekuwa [[Yerusalemu]] tangu mwaka [[1950]] lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali ya kisheria ya kimataifa juu ya Yerusalemu haieleweki.
[[Mji mkuu]] umekuwa [[Yerusalemu]] tangu mwaka [[1950]] lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yake kadiri ya [[Sheria ya kimataifa]] haieleweki.


==Watu==
==Watu==
Takriban 74.9% za wakazi ni [[Wayahudi]] ambao wengi wao wanafuata [[dini]] ya [[Uyahudi]], na 20.7 % ni [[Waarabu]] ambao wengi ni [[Waislamu]] (16%) lakini pia [[Wakristo]] (2% za raia wote: kati yao karibu 80% ni Waarabu). [[Wahamiaji]] wengi wasiopata uraia ni Wakristo.
Takriban 74.9% za wakazi ni [[Wayahudi]] ambao wengi wao wanafuata [[dini]] ya [[Uyahudi]], na 20.7 % ni [[Waarabu]] ambao wengi ni [[Waislamu]] (16%) lakini pia [[Wakristo]] (2% za raia wote: kati ya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu). [[Wahamiaji]] wengi wasiopata uraia ni Wakristo.


[[Lugha rasmi]] ni [[Kiebrania]] na [[Kiarabu]]. [[Lugha]] nyingine zinazotumika sana nyumbani ni [[Kirusi]], [[Kifaransa]] na [[Kiamhari]], mbali ya [[Kiingereza]].
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiebrania]] na [[Kiarabu]]. [[Lugha]] nyingine zinazotumika sana nyumbani ni [[Kirusi]], [[Kifaransa]] na [[Kiamhari]], mbali ya [[Kiingereza]].

==Tazama pia==
*[[Israeli ya Kale]]
*[[Mapambano kati ya Israeli na Palestina]]


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
{{commons}}
* {{en}} na {{ar}} ([[Kiebrania]]) [http://www.gov.il/firstgov/english/ Tovuti ya serikali]
* {{en}} {{ar}} na [[Kiebrania]] [http://www.gov.il/firstgov/english/ [[Tovuti]] ya [[serikali]]]
* [http://israilgercegi.blogcu.com Israel blog]
* [http://israilgercegi.blogcu.com Israel blog]



Pitio la 11:24, 12 Januari 2017

Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)

Israel


Israel (kwa Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; kwa Kiarabu: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea.

Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo yaliyo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.

Historia

Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe 14 Mei 1948 lakini nyuma kuna historia ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na Biblia kama kiini cha historia ya wokovu.

Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu mwaka 1950 lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yake kadiri ya Sheria ya kimataifa haieleweki.

Watu

Takriban 74.9% za wakazi ni Wayahudi ambao wengi wao wanafuata dini ya Uyahudi, na 20.7 % ni Waarabu ambao wengi ni Waislamu (16%) lakini pia Wakristo (2% za raia wote: kati ya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu). Wahamiaji wengi wasiopata uraia ni Wakristo.

Lugha rasmi ni Kiebrania na Kiarabu. Lugha nyingine zinazotumika sana nyumbani ni Kirusi, Kifaransa na Kiamhari, mbali ya Kiingereza.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Israel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.