Wakatoliki wa Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Sint-Gertrudiskathedraal.JPG|thumb|[[Kanisa kuu]] la Mt. [[Gertrude]] huko [[Utrecht]], [[Uholanzi]]. Ni mama wa ma[[kanisa]] yote ya Wakatoliki wa Kale.]]
[[Image:Sint-Gertrudiskathedraal.JPG|thumb|[[Kanisa kuu]] la [[Gertrudi wa Thuringia|Mt. Getruda]] huko [[Utrecht]], [[Uholanzi]]. Ni [[mama]] wa ma[[kanisa]] yote ya Wakatoliki wa Kale.]]
'''Wakatoliki wa Kale''' ni jina linalotumika kujumlisha [[Ukristo|Wakristo]] wa Magharibi ambao wametengana na [[Askofu wa Roma]] hasa baada ya [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]] ([[1869]]-[[1870]]) kutangaza [[dogma]] ya [[Papa]] [[kutoweza kukosea]] anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.
'''Wakatoliki wa Kale''' ni [[jina]] linalotumika kujumlisha [[Wakristo]] wa [[Ukristo wa magharibi|Magharibi]] ambao wametengana na [[Askofu wa Roma]] hasa baada ya [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]] ([[1869]]-[[1870]]) kutangaza [[dogma]] ya [[Papa]] [[kutoweza kukosea]] anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.


Wakristo hao walijipatia [[uaskofu]] halisi katika [[mlolongo wa Mitume]] kupitia [[Askofu]] wa [[Utrecht]] mwaka [[1873]], na baada ya hapo waliusambaza kwa [[madhehebu]] mengi, ambayo mengine kwa sasa hayana [[ushirika]] nao.
Wakristo hao walijipatia [[uaskofu]] halisi katika [[mlolongo wa Mitume]] kupitia [[Askofu]] wa [[Utrecht]] mwaka [[1873]], na baada ya hapo waliusambaza kwa [[madhehebu]] mengi, ambayo mengine kwa sasa hayana [[ushirika]] nao.


Kumbe Wakatoliki wa Kale wana ushirika na [[Waanglikana]].
[[Imani]] na [[liturujia]] zao zinafanana na zile za [[Kanisa Katoliki]], lakini taratibu zimekwenda mbali.


[[Imani]] na [[liturujia]] zao zinafanana na zile za [[Kanisa Katoliki]], lakini taratibu zimekwenda mbali, kwa mfano kwa kukubali [[upadri]] kwa [[wanawake]] na kwa kiasi fulani [[ushoga]].
Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "[[Umoja wa Utrecht]]" ulioanzishwa mwaka [[1889]] na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka [[2013]].

Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "[[Umoja wa Utrecht]]" ulioanzishwa mwaka [[1889]] na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka [[2016]], wakiwa karibu wote wakazi wa [[Ulaya Magharibi]] na [[Poland]].

==Tanbihi==
{{Reflist|colwidth=30em}}

==Marejeo==
* Episcopi Vagantes and the Anglican Church. Henry R.T. Brandreth. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1947.
* Episcopi vagantes in church history. A.J. Macdonald. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1945.
* The Old Catholic Church: A History and Chronology (The Autocephalous Orthodox Churches, No. 3). [[Karl Pruter]]. Highlandville, Missouri: St. Willibrord's Press, 1996.
* The Old Catholic Sourcebook (Garland Reference Library of Social Science). Karl Pruter and J. Gordon Melton. New York: Garland Publishers, 1983.
* The Old Catholic Churches and Anglican Orders. C.B. Moss. The Christian East, January, 1926.
* The Old Catholic Movement. C.B. Moss. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1964.

==Marejeo mengine==
* "La Sainte Trinité dans la théologie de Dominique Varlet, aux origines du vieux-catholicisme". Serge A. Thériault. ''Internationale Kirchliche Zeitschrift'', Jahr 73, Heft 4 (Okt.-Dez. 1983), p. 234-245.

==Viungo vya nje==
{{External links|section|date=February 2016}}
{{EB1911 poster|Old Catholics}}

===Umoja wa Utrecht===
* [http://www.utrechter-union.org/pagina/137/english Union of Utrecht of The Old Catholic Churches]
* [http://www.okkn.nl Old-Catholic Church of the Netherlands]
* [http://www.alt-katholisch.de Catholic Diocese of the Old Catholics in Germany]
* [http://www.christkath.ch Old-Catholic Church of Switzerland]
* [http://www.altkatholiken.at Old-Catholic Church of Austria]
* [http://www.starokatolici.cz Old-Catholic Church of the Czech Republic]
* [http://www.polskokatolicki.pl Polish National Catholic Church]
* [http://www.slovenski-katolici.sk Old-Catholic Church of Slovakia]

===Makanisa chini ya Umoja wa Utrecht===
* [http://www.vieux-catholique-alsace.com/ Old-Catholic Mission in France] and [http://www.fraternitestvincentdelerins.fr/ Fraternité St Vincent de Lérins]
* [http://www.veterocattolici.it/ Old-Catholic Mission in Italy]
* [http://www.gammalkatolik.se Old-Catholic Mission in Sweden and Denmark]

===Mengine yasiyo ndani ya Umoja wa Utrecht===
* [http://www.occus.org/ Old Catholic Confederation]
* [http://www.oldcatholic.us Diocese of St. Benedict Old Catholic Church]
* [http://www.oldcatholicchurchuk.com The Old Catholic Church in the United Kingdom]
* [http://communityofcharity.org Columbus Community of Charity Independent Old Catholic Church]


{{mbegu-Ukristo}}
{{mbegu-Ukristo}}

Pitio la 15:42, 9 Januari 2017

Kanisa kuu la Mt. Getruda huko Utrecht, Uholanzi. Ni mama wa makanisa yote ya Wakatoliki wa Kale.

Wakatoliki wa Kale ni jina linalotumika kujumlisha Wakristo wa Magharibi ambao wametengana na Askofu wa Roma hasa baada ya Mtaguso wa kwanza wa Vatikano (1869-1870) kutangaza dogma ya Papa kutoweza kukosea anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.

Wakristo hao walijipatia uaskofu halisi katika mlolongo wa Mitume kupitia Askofu wa Utrecht mwaka 1873, na baada ya hapo waliusambaza kwa madhehebu mengi, ambayo mengine kwa sasa hayana ushirika nao.

Kumbe Wakatoliki wa Kale wana ushirika na Waanglikana.

Imani na liturujia zao zinafanana na zile za Kanisa Katoliki, lakini taratibu zimekwenda mbali, kwa mfano kwa kukubali upadri kwa wanawake na kwa kiasi fulani ushoga.

Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "Umoja wa Utrecht" ulioanzishwa mwaka 1889 na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka 2016, wakiwa karibu wote wakazi wa Ulaya Magharibi na Poland.

Tanbihi

Marejeo

  • Episcopi Vagantes and the Anglican Church. Henry R.T. Brandreth. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1947.
  • Episcopi vagantes in church history. A.J. Macdonald. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1945.
  • The Old Catholic Church: A History and Chronology (The Autocephalous Orthodox Churches, No. 3). Karl Pruter. Highlandville, Missouri: St. Willibrord's Press, 1996.
  • The Old Catholic Sourcebook (Garland Reference Library of Social Science). Karl Pruter and J. Gordon Melton. New York: Garland Publishers, 1983.
  • The Old Catholic Churches and Anglican Orders. C.B. Moss. The Christian East, January, 1926.
  • The Old Catholic Movement. C.B. Moss. London: Society for Promoting Christian Knowledge, 1964.

Marejeo mengine

  • "La Sainte Trinité dans la théologie de Dominique Varlet, aux origines du vieux-catholicisme". Serge A. Thériault. Internationale Kirchliche Zeitschrift, Jahr 73, Heft 4 (Okt.-Dez. 1983), p. 234-245.

Viungo vya nje

Umoja wa Utrecht

Makanisa chini ya Umoja wa Utrecht

Mengine yasiyo ndani ya Umoja wa Utrecht

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakatoliki wa Kale kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.