Robert Penn Warren : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32: Mstari 32:
| uzito =
| uzito =
}}
}}
'''Robert Penn Warren''' ([[24 Aprili]] [[1905]] – [[15 Septemba]] [[1989]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa aliandika [[riwaya]] na mashairi. Mwaka wa [[1947]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa riwaya yake ''All the King's Men'' (Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, miaka ya [[1958]] na [[1979]].
'''Robert Penn Warren''' ([[24 Aprili]] [[1905]] – [[15 Septemba]] [[1989]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa aliandika [[riwaya]] na mashairi. Mwaka wa [[1947]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]''' kwa riwaya yake ''All the King's Men'' ("Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea [[Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]] mara mbili, miaka ya [[1958]] na [[1979]].


{{DEFAULTSORT:Warren, Robert Penn}}
{{DEFAULTSORT:Warren, Robert Penn}}
Mstari 41: Mstari 41:
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Washairi wa Marekani]]
[[Jamii:Washairi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]]

Pitio la 21:32, 30 Desemba 2016

RObert Penn Warren

Amezaliwa 24 Aprili 1904
Kentucky, Marekani
Amekufa 15 Septemba 1989
Vermont, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mshairi

Robert Penn Warren (24 Aprili 190515 Septemba 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake All the King's Men ("Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili, miaka ya 1958 na 1979.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Penn Warren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.