Pearl S. Buck : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 33: Mstari 33:
}}
}}


'''Pearl Buck''' ([[26 Juni]] [[1892]] – [[6 Machi]] [[1973]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Jina lake la kuzaliwa ni ''Pearl Comfort Sydenstricker''; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la ''John Sedges''. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake juu ya maisha katika nchi ya [[Uchina]] ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
'''Pearl Buck''' ([[26 Juni]] [[1892]] – [[6 Machi]] [[1973]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Jina lake la kuzaliwa ni ''Pearl Comfort Sydenstricker''; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la ''John Sedges''. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake juu ya maisha katika nchi ya [[Uchina]] ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1932 alituzwa [[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]] kwa riwaya yake ''The Good Earth''. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.


{{DEFAULTSORT:Buck, Pearl S.}}
{{DEFAULTSORT:Buck, Pearl S.}}
Mstari 42: Mstari 42:
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]

Toleo la sasa la 21:22, 30 Desemba 2016

Pearl Sydenstricker Buck

Amezaliwa 26 Juni 1892
Virginia, Marekani
Amekufa 6 Machi 1973
Vermont, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mwalimu
Ndoa John Lossing Buck (1917–1935)
Richard Walsh (1935–1960)


Pearl Buck (26 Juni 18926 Machi 1973) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Pearl Comfort Sydenstricker; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la John Sedges. Anajulikana hasa kwa riwaya zake juu ya maisha katika nchi ya Uchina ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1932 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Good Earth. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pearl S. Buck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.