Milton Obote : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
|caption=
|caption=
|imagesize=230px
|imagesize=230px
|order= Rais wa Pili wa Uganda
|order= Rais wa Uganda
|term_start1=15 Aprili 1966
|term_start1=15 Aprili 1966
|term_end1=25 Januari 1971
|term_end1=25 Januari 1971

Pitio la 14:23, 14 Desemba 2016

Apollo Milton Obote


Rais wa Uganda
Muda wa Utawala
15 Aprili 1966 – 25 Januari 1971
mtangulizi Mutesa II wa Buganda
aliyemfuata Idi Amin
Muda wa Utawala
17 Disemba 1980 – 27 Julai 1985
mtangulizi Tume la Kiraisi la Uganda
aliyemfuata Bazilio Olara-Okello

Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda
Muda wa Utawala
30 Aprili 1962 – 15 Aprili 1966
mtangulizi Benedicto Kiwanuka

tarehe ya kuzaliwa (1925-12-28)28 Desemba 1925
Apac District, Uganda
tarehe ya kufa 10 Oktoba 2005 (umri 79)
Johannesburg, Afrika Kusini
chama Uganda People's Congress
ndoa Miria Obote
watoto 5

Apollo Milton Obote (*28 Desemba 1925  – 10 Oktoba 2005) alikuwa mwanasiasa wa Uganda aliyepambania uhuru wa nchi yake uliofikiwa mwaka 1962.[1][2]

Kati ya 1962 hadi 1966 Obote alikuwa waziri mkuu wa Uganda. Aliendelea kutawala kama rais wa Jamhuri ya Uganda tangu 1966 hadi 1971 akarudi baadaye 1980 hadi 1985.[3]

Obote alipinduliwa na Idi Amin mwaka 1971 lakini alirudishwa baada ya kufukuzwa kwa Amin mwaka 1979 na jeshi la Tanzania. Uchaguzi wa kiraisi wa 1980 haukubaliwa na vyama vya upinzani na hapo Yoweri Museveni alianza harakati National Resistance Army (NRA) na vita ya msituni dhidi ya Obote. Katika vita hii serikali na jeshi la Obote vilishtakiwa kuwajibika kwa jinai dhidi ya haki za kibinadamu zilizogharamia maisha ya watu maelfu. [4] Vita ya msituni wa Uganda ilisababisha vifo vya watu 100,000 hadi 500,000.[5][6][7]

Tarehe 27 Julai 1985 Obote alipinduliwa tena na wakuu wa jeshi chini ya jenerali Tito Okello. Obote alikumbia kwenda Tanzania na baadaye Zambia.

Tarehe 10 Oktoba 2005 Obote aliaga dunia kwenye hospitali moja mjini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye umri wa miaka 79.[8]

Marejeo

  1. Gideon AJ van Dyk (18 March 2016). Military Psychology for Africa. AFRICAN SUN MeDIA. ku. 379–. ISBN 978-1-920689-95-7.  Check date values in: |date= (help)
  2. Leslie Alan Horvitz; Christopher Catherwood (14 May 2014). Encyclopedia of War Crimes and Genocide. Infobase Publishing. ku. 331–. ISBN 978-1-4381-1029-5.  Check date values in: |date= (help)
  3. Omongole R. Anguria (1 January 2006). Apollo Milton Obote: What Others Say. Fountain Publishers. ISBN 978-9970-02-616-6.  Check date values in: |date= (help)
  4. Ruddy Doom; Koen Vlassenroot (1999). "Kony's Message: A New Koine?". African Affairs 98 (390): 9. doi:10.1093/oxfordjournals.afraf.a008002. 
  5. Henry Wasswa (10 October 2005), "Uganda's first prime minister, and two-time president, dead at 80", Associated Press
  6. Bercovitch, Jacob and Jackson, Richard (1997), International Conflict: A Chronological Encyclopedia of Conflicts and Their Management 1945–1995. Congressional Quarterly. ISBN 156802195X.
  7. Uganda. CIA Factbook.
  8. "Former Ugandan leader Obote dies", BBC News, 10 October 2005. Retrieved on 19 May 2016. 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: