Kichapuzi chembe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Kipala alihamisha ukurasa wa Kikazanishio mwendo wa chembe hadi Kichapuzi chembe
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:27, 9 Desemba 2016

Makala hii kuhusu "Kichapuzi chembe" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Eneo la CERN kutoka hewani

Kikazanishio mwendo wa chembe ni kifaa cha kuongezea mwendo wa chembe, yaani chembe ndogo sana, kama atomu au sehemu za atomu.

Mfano maarufu ni kikazanishio mwendo wa chembe kiitwacho CERN kilichojengwa karibu na mji wa Geneva, mpakani kwa Uswisi na Ufaransa.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichapuzi chembe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.