Kitenzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{ExamplesSidebar|35%|
{{ExamplesSidebar|35%|
*''''Anacheza''' muziki
*'''Anacheza''' muziki
*'''Wanaenda''' kazini
*'''Wanaenda''' kazini
*'''Unaimba''' wimbo wa taifa
*'''Unaimba''' wimbo wa taifa
*'''Ninasema''' Kifaransa
*'''Ninasema''' Kifaransa
}}
}}
'''Kitenzi''' ni istalihi ya [[sarufi]] kwa maneno yanaotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika.
'''Kitenzi''' ni [[istilahi]] ya [[sarufi]] kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika.

Lugha nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na majina.
[[Lugha]] nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na [[jina|majina]].

==Maumbo ya kitenzi==
==Maumbo ya kitenzi==
Kwa [[Kiswahili]] kila kitenzi kina shina yake inayobeba maana yake. Mfano: ku-fanya ambamo "fanya" ni shina; kiambishi awali "ku-" ni alama ya aina ya neno yaani kitenzi chenyewe.
Kwa [[Kiswahili]] kila kitenzi kina [[shina]] lake linalobeba [[maana]] yake. Mfano: ku-fanya ambamo "fanya" ni shina; [[kiambishi awali]] "ku-" ni [[alama]] ya aina ya neno yaani kitenzi chenyewe.

Ndani ya shina kuna tofauti kati ya mzizi wa neno "fany" na kiambishi tamati ambacho ni silabi "a".
Ndani ya shina kuna tofauti kati ya [[mzizi]] wa neno "fany" na [[kiambishi tamati]] ambacho ni [[silabi]] "a".

Mzizi wda kitenzi mwenyewe haubadiliki wakati wowote kitenzi kitaponyambuliwa katika kauli yoyote iwayo.
Mzizi wa kitenzi wenyewe haubadiliki wakati wowote kitenzi kinaponyambuliwa katika kauli yoyote iwayo.

Vitenzi kwa Kiswahili hupokea viambishi mbalimbali vinavyoeleza kwa undani zaidi maana ya matumizi ya neno. Viambishi awali ni silabi zilizopo mbele ya mzizi na viambishi tamati ni silabi zilivyopo baada ya mzizi wa kitenzi.

Mstari 20: Mstari 20:
Viambishi awali vinaweza kutaja:
Viambishi awali vinaweza kutaja:
* nafsi ya mtenda - ni nani au nani anayetenda na hivi ni silabi '''ni''' /'''u''' / '''a''' upande wa umoja na '''tu''' / '''m''' / '''wa''' upande wa uwingi mtawalia katika hali yakinishi na "si"/ "hu"/"ha" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda- umoja na "hatu"/"ham"/"hawa" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda-wingi .

* njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao ; mifano ni silabi za '''a''' pamoja na '''na''' kwa wakati wa kisasa, '''li''' kwa wakati uliopita na '''ta''' kwa wakati ujao katika hali yakinishi.
* njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao ; mifano ni silabi za '''a''' pamoja na '''na''' kwa wakati wa sasa, '''li''' kwa wakati uliopita na '''ta''' kwa wakati ujao katika hali yakinishi.

Viambishi tamani vinaweza kupanusha au kubadilisha maana ya kimsingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.
Viambishi tamati vinaweza kupanua au kubadilisha maana ya msingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.

Kwa jumla kitenzi cha Kiswahili kinaweza kuwa na sehemu saba yaani shina na hadi sita viambishi mbele au nyuma ya shina la neno. Jedwali inayofuata inaonyesha mifano kadhaa. Umbo fupi zaidi ya kitenzi ni amri kama "piga".
Kwa jumla kitenzi cha Kiswahili kinaweza kuwa na sehemu [[saba]], yaani shina na hadi viambishi [[sita]] mbele au nyuma ya shina la neno. Jedwali linalofuata linaonyesha mifano kadhaa. Umbo fupi zaidi ya kitenzi ni [[amri]] kama "piga".

{| class="wikitable float-right"
{| class="wikitable float-right"
Mstari 57: Mstari 57:
*[[Kitenzi kikuu kisaidizi]] ('''TS''')
*[[Kitenzi kikuu kisaidizi]] ('''TS''')
*[[Kitenzi kishirikishi]] ('''t''')
*[[Kitenzi kishirikishi]] ('''t''')

==Tazama pia==
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Lango:Lugha]]

Pitio la 13:59, 28 Novemba 2016

Mifano
  • Anacheza muziki
  • Wanaenda kazini
  • Unaimba wimbo wa taifa
  • Ninasema Kifaransa

Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika.

Lugha nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na majina.

Maumbo ya kitenzi

Kwa Kiswahili kila kitenzi kina shina lake linalobeba maana yake. Mfano: ku-fanya ambamo "fanya" ni shina; kiambishi awali "ku-" ni alama ya aina ya neno yaani kitenzi chenyewe.

Ndani ya shina kuna tofauti kati ya mzizi wa neno "fany" na kiambishi tamati ambacho ni silabi "a".

Mzizi wa kitenzi wenyewe haubadiliki wakati wowote kitenzi kinaponyambuliwa katika kauli yoyote iwayo.

Vitenzi kwa Kiswahili hupokea viambishi mbalimbali vinavyoeleza kwa undani zaidi maana ya matumizi ya neno. Viambishi awali ni silabi zilizopo mbele ya mzizi na viambishi tamati ni silabi zilivyopo baada ya mzizi wa kitenzi.

Viambishi awali vinaweza kutaja:

  • nafsi ya mtenda - ni nani au nani anayetenda na hivi ni silabi ni /u / a upande wa umoja na tu / m / wa upande wa uwingi mtawalia katika hali yakinishi na "si"/ "hu"/"ha" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda- umoja na "hatu"/"ham"/"hawa" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda-wingi .
  • njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao ; mifano ni silabi za a pamoja na na kwa wakati wa sasa, li kwa wakati uliopita na ta kwa wakati ujao katika hali yakinishi.

Viambishi tamati vinaweza kupanua au kubadilisha maana ya msingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.

Kwa jumla kitenzi cha Kiswahili kinaweza kuwa na sehemu saba, yaani shina na hadi viambishi sita mbele au nyuma ya shina la neno. Jedwali linalofuata linaonyesha mifano kadhaa. Umbo fupi zaidi ya kitenzi ni amri kama "piga".

Kitenzi cha Kiswahili
pamoja na viambishi vyake
1 2 3 4 5 6 7
Viambishi awali Shina Viambishi tamati
Viambishi vya
Nafsi Mtenda
Viambishi vya
Wakati / Hali
Viambishi
Virejeshi
Viambishi vya
Nafsi Mtendewa
Viambishi vya
Kauli
Kiishio
ni na - - sem - a
u me ni on yesh a
a na cho ni ambi - a
tu li po wa ingi z a
pig - a

Aina za vitenzi

Tazama pia

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitenzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.