Ufalme wa Mungu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|240px|[[Mungu Baba juu ya kiti cha enzi, Westphalia, Ujerumani, mwisho wa karne ya 15.]] Fi...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Gottvater thronend Westfalen 15 Jh.jpg|thumb|240px|[[Mungu Baba]] juu ya kiti cha enzi, [[Westphalia]], [[Ujerumani]], mwisho wa [[karne ya 15]].]]
[[File:Gottvater thronend Westfalen 15 Jh.jpg|thumb|240px|[[Mungu Baba]] juu ya kiti cha enzi, [[Westphalia]], [[Ujerumani]], mwisho wa [[karne ya 15]].]]
[[File:Langenzenn Stadtkirche - Fenster Wilhelm II 3.jpg|thumb|180px|Malaika akipuliza tarumbeta ya mwisho kadiri ya [[1Kor]] 15:52, [[Langenzenn]], Ujerumani, [[karne ya 19]].]]
[[File:Christ Handing the Keys to St. Peter by Pietro Perugino.jpg|thumb|right|[[Yesu]] akimpa [[Mtume Petro]] funguo za ufalme wa mbinguni ([[Math]] 16:18),<ref>''The Gospel of Matthew'' (Sacra Pagina Series, Vol 1) by Dainel J. Harrington 1991 ISBN 978-0-8146-5803-1 page 248</ref> kadiri walivyochorwa na [[Pietro Perugino]], [[1492]].]]

[[File:Langenzenn Stadtkirche - Fenster Wilhelm II 3.jpg|thumb|180px|[[Malaika]] akipuliza [[tarumbeta ya mwisho]] kwa ajili ya [[Hukumu ya mwisho|hukumu]] kadiri ya [[1Kor]] 15:52, [[Langenzenn]], Ujerumani, [[karne ya 19]].]]

'''Ufalme wa Mungu''' (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika [[Injili ya Mathayo]]) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa [[Yesu Kristo]] katika [[Injili]] .<ref name=France101>''The Gospel of Matthew'' by R.T. France (21 Aug 2007) ISBN 080282501X pages 101-103</ref>

[[Neno]] "[[ufalme]]" (kwa Kigiriki βασιλεία, ''Basileia'') linapatikana mara 162 katika Agano Jipya, kawaida kwa maana ya ''Basileia tou Theou'' (βασιλεία τοῦ θεοῦ), Ufalme wa Mungu, au ''Basileia tōn Ouranōn'', (Βασιλεία τῶν Ουρανῶν), Ufalme wa Mbinguni.<ref>''Theology for the Community of God'' by Stanley J. Grenz (Jan 31, 2000) ISBN 0802847552 page 473</ref> Kingdom of God is translated to [[Latin]] as ''Regnum Dei'' and Kingdom of Heaven as ''Regnum caelorum''.<ref>''A Primer of Ecclesiastical Latin'' by John F. Collins (Aug 1985) ISBN 0813206677 page 176</ref>

Mstari 14: Mstari 15:
{{Reflist|2}}
{{Reflist|2}}

==Viungo vya nje==
* [http://www.newadvent.org/cathen/08646a.htm Catholic Encyclopedia: Kingdom of God]
* [http://jewishencyclopedia.com/view.jsp?artid=225&letter=K Jewish Encyclopedia: Kingdom of God]
* [http://www.sacrednamebible.com/kjvstrongs/STRGRK9.htm Strong’s Greek Dictionary]
*{{cite journal |first=Martin J. |last=Selman |title=The Kingdom of God in the Old Testament |journal=Tyndale Bulletin |volume=40 |issue=2 |year=1989 |pages=161–83 |url=http://www.tyndalehouse.com/tynbul/library/TynBull_1989B_40_01_Selman_KingdomOfGodInOT.pdf}}
{{mbegu-Ukristo}}
{{mbegu-Ukristo}}

Pitio la 07:11, 20 Novemba 2016

Mungu Baba juu ya kiti cha enzi, Westphalia, Ujerumani, mwisho wa karne ya 15.
Yesu akimpa Mtume Petro funguo za ufalme wa mbinguni (Math 16:18),[1] kadiri walivyochorwa na Pietro Perugino, 1492.
Malaika akipuliza tarumbeta ya mwisho kwa ajili ya hukumu kadiri ya 1Kor 15:52, Langenzenn, Ujerumani, karne ya 19.

Ufalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili .[2] Neno "ufalme" (kwa Kigiriki βασιλεία, Basileia) linapatikana mara 162 katika Agano Jipya, kawaida kwa maana ya Basileia tou Theou (βασιλεία τοῦ θεοῦ), Ufalme wa Mungu, au Basileia tōn Ouranōn, (Βασιλεία τῶν Ουρανῶν), Ufalme wa Mbinguni.[3] Kingdom of God is translated to Latin as Regnum Dei and Kingdom of Heaven as Regnum caelorum.[4]

Hata katika hilo Agano Jipya limeendeleza Agano la Kale, ambapo Mungu anatangazwa kuwa mfalme wa ulimwengu akiwa na mwakilishi, Daudi na watawala wa ukoo wake, kwa namna ya pekee Masiya, Mwana wa Daudi aliyetarajiwa.

Biblia inatangazwa kwamba hatimaye Mungu atawahukumu watu wote kadiri walivyokubali au kukataa mamlaka yake. Juu ya msingi wa madondoo mbalimbali wa Agano Jipya, Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli inathibitisha kwamba hukumu hiyo itafanywa kwa njia ya Yesu. Pia kwa sababu hiyo mwenyewe alipenda kujiita "Mwana wa Mtu" kadiri ya njozi ya Danieli.

Madhehebu ya Ukristo leo yanatofautiana sana katika kuelewa na kueleza mada hiyo.

Tanbihi

  1. The Gospel of Matthew (Sacra Pagina Series, Vol 1) by Dainel J. Harrington 1991 ISBN 978-0-8146-5803-1 page 248
  2. The Gospel of Matthew by R.T. France (21 Aug 2007) ISBN 080282501X pages 101-103
  3. Theology for the Community of God by Stanley J. Grenz (Jan 31, 2000) ISBN 0802847552 page 473
  4. A Primer of Ecclesiastical Latin by John F. Collins (Aug 1985) ISBN 0813206677 page 176

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufalme wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.