29
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
*Habibu '''angali''' ''anasoma'' darasani
*Sisi '''tunataka''' ''kwenda'' '''kuogelea''' mtoni
'''Kitenzi kikuu kisaidizi''' (alama yake ya [[isimu|kiisimu]] ni: '''TS''') ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kitenzi kikuu kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi kinahitaji msaada/lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa yake ikamilike.
==Uchambuzi==
1) Kujulisha ''njeo'' (njeo = wakati, nyakati)
2) Kujulisha uyakinishi na ukanushi wa tendo/matendo<big>
Sifa za Kitenzi kisaidizi</big>
- Hakikamilishi taarifa. Mfano, Baba '''''alikuwa'''''
- Mara zote huambatana na kitenzi kikuu katika kutoa taarifa. Mfano, Upepo '''ulikuwa''' unavuma.
- Hudokeza nyakati mbalimbali za kutendeka kwa tendo. Yaani, wakati uliopo, uliopita na ujao. Mfano, Alikuwa, Atakuwa, n.k
*
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
|
edits