Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho
Mstari 69: | Mstari 69: | ||
* [[d:Q9453|dialectic]] sw: [[dialectic]] |
* [[d:Q9453|dialectic]] sw: [[dialectic]] |
||
* [[d:Q86|headache]] sw: [[headache]] |
* [[d:Q86|headache]] sw: [[headache]] |
||
* [[d:Q12152|heart attack]] sw: [[ |
* [[d:Q12152|heart attack]] sw: [[maumivu wa kichwa]] |
Pitio la 13:29, 15 Novemba 2016
Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.
Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.
Kila mwanawikipedia anaombwa
- kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.
- Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana mengine bado ni fupi sana
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.
Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.
Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded
Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi
(hali ya Februari 2016) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)
OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!
- acceleration * sw: mchapuko
- addiction * sw: addiction
- algorithm * sw: algorithm
- animation * sw: animation
- Capacitor * sw: kapasita
- classical mechanics * sw: classical mechanics
- complex number * sw: namba changamano
- conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
- differential equation * sw: mlinganyo tenguo
- electronic music * sw: muziki wa elektroniki
- endocrine system * sw: mfumo wa homoni
- (mathematics) function * sw: namba tegemezi
- general relativity * sw: general relativity
- inductor * sw: inductor
- infinity * sw: infinity
- information * sw: taarifa
- linear algebra * sw: linear algebra
- logarithm * sw: logi
- martial arts * sw: martial arts
- mathematical analysis * sw: mathematical analysis
- mathematical proof * sw: mathematical proof
- Mind * sw: mind
- nuclear fission * sw: nuclear fission
- number theory * sw: number theory
- numerical analysis * sw: numerical analysis
- operating system * sw: operating system
- pandemic * sw: pandemia
- physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
- programming language * sw: programming language
- quantum mechanics * sw: quantum mechanics
- resistor * sw: resistor
- semiconductor * sw: semiconductor
- set theory * sw: set theory
- software * sw: software
- special relativity * sw: special relativity
- strong interaction * sw: strong interaction
- thermodynamics * sw: mwendojoto
- transformer * sw: transfoma
- transistor * sw: transista
- weak interaction * sw: weak interaction
Zifuatazo ziliongezwa hadi Februari 2016 na kukosekana katika orodha hapo juu
- biological classification sw: biological classification (inawezekana kuna kosa hapo Meta; yaani tunayo uainishaji wa kisayansi inayalingana na ing.
- Citrus ×limon sw: limau
- dialectic sw: dialectic
- headache sw: headache
- heart attack sw: maumivu wa kichwa