Tofauti kati ya marekesbisho "Periheli"

Jump to navigation Jump to search
239 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
nyongeza kidogo
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|1. Sayari kwenye afeli yake 2. Sayari kwenye periheli yake 3. Jua '''Periheli''' (ing. ''perihelion'') ni mahali ka...')
 
(nyongeza kidogo)
'''Periheli''' ([[ing.]] ''perihelion'') ni mahali katika [[obiti]] ya sayari au [[gimba la angani|magimba mengine ya angani]] ambako ni karibu zaidi na [[jua]]. Jina latokana na kigiriki Περι na Ήλιο ''peri'' (karibu) na "helio" (jua).
 
Kinyume chake ni [[afeli]] inayomaanisha sehemu ya obiti iliyo mbali kabisa na jua. Obiti ni jina la njia ya gimba kuzunguka jua.
 
Majina haya hutumiwa kamakwa sababu obiti inahuwa na umbo la [[duaradufu]], yasingekuwana kwenye mzingo wa duaradufu kuna sehemu za karibu na sehemu za mbali na kitovu. Yasingekuwa na maana kama obiti ingekuwa [[duara]] kamili lakinikwa hiisababi kwenye mzingo wa duara kila nukta ina umbali sawa na kitovu. Lakini obiti zenye umbo la duara kamili haitokeihazitokei hali halisi.
 
 

Urambazaji