Lahaja : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
Mfano wa lugha yenye lahaja mbalimbali ni [[Kiingereza]] na lahaja zake zinavyozungumzwa tofauti [[Uingereza]], [[Marekani]], [[Uhindi]], [[Australia]] na maeneo mengine.
Mfano wa lugha yenye lahaja mbalimbali ni [[Kiingereza]] na lahaja zake zinavyozungumzwa tofauti [[Uingereza]], [[Marekani]], [[Uhindi]], [[Australia]] na maeneo mengine.


==Lahaja za Kiswahili==
Tena, lahaja za [[Kiswahili]] hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama [[Kiamu]] ([[Kisiwa|kisiwani]] [[Lamu]]), [[Kimvita]] ([[Mji|mjini]] [[Mombasa]]), [[Kiunguja]] (kisiwani [[Zanzibar]], [[Kingazija]] (visiwani kwa [[Komoro]]) na kadhalika.
Lahaja za [[Kiswahili]] hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama [[Kiunguja]] (kisiwani [[Zanzibar]]) ambacho kimekuwa msingi wa [[Kiswahili Sanifu]], [[Kimvita]] (eneo la "[[Mvita]]" au [[Mombasa]] [[Mji|mjini]], [[Kenya]]), ambacho zamani kilikuwa lahaja kubwa ya pili pamoja na Kiunguja, [[Kiamu]] ([[Kisiwa|kisiwani]] [[Lamu]], [[Kenya]]) na kadhalika. Nyingine ni pamoja na:

::* [[Kimrima]]: eneo la [[Pangani]], [[Vanga]], [[Dar es Salaam]], [[Rufiji]] na [[Mafia]] kisiwani ([[Tanzania]])
::* [[Kimgao]]: eneo la [[Kilwa]] ([[Tanzania]])
::* [[Kingwana]]: Kiswahili cha [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
::* [[Shikomor]]: Kiswahili cha [[Komoro]]
::* [[Shimaore]]: Shikomor cha [[Mayotte]] (Mahore)
::* [[Shindzuani]]: Shikomor cha [[Anjouan]] (Komoro)
::* [[Shingadzija]]: Shikomor cha [[Komoro Kuu]]
::* [[Kimwani]]: [[kaskazini]] mwa [[Msumbiji]] na [[Kerimba (visiwa)|visiwa vya Kerimba]]
::* [[Chimwiini]]: eneo la [[Barawa]], [[kusini]] mwa [[Somalia]]
::* [[Sheng]]: Kiswahili cha mtaani [[Nairobi]] ([[Kenya]]) chenye maneno mengi ya asili ya [[Kiingereza]], [[Gikuyu]] na lugha zingine za Kenya.


== Marejeo ==
== Marejeo ==
Mstari 22: Mstari 34:
== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]
* [[Lahaja za Kiswahili]]


{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}

Pitio la 14:12, 7 Novemba 2016

Lahaja ni vilugha vidogovidogo vya lugha moja ambavyo hubainishwa na jamii au jiografia.

Lahaja za lugha moja zinatofautiana katika matamshi, miundo ya sarufi na msamiati.

Kama lugha hutofautiana katika matamshi tu, tofauti hizo huitwa lafudhi, si lahaja. Uchambuzi na uchanganuzi wa lahaja ni tawi la isimujamii.

Lahaja hutofautishwa kulingana na vipengele vifuatavyo:

  1. vipengele vya sera (lahaja rasmi na lahaja sanifu)
  2. vipengele vya maoni ya wasemaji wa lugha husika
  3. vipengele vya kijamii (lahaja jamii na lahaja tabaka)
  4. vipengele vya eneo

Mfano wa lugha yenye lahaja mbalimbali ni Kiingereza na lahaja zake zinavyozungumzwa tofauti Uingereza, Marekani, Uhindi, Australia na maeneo mengine.

Lahaja za Kiswahili

Lahaja za Kiswahili hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama Kiunguja (kisiwani Zanzibar) ambacho kimekuwa msingi wa Kiswahili Sanifu, Kimvita (eneo la "Mvita" au Mombasa mjini, Kenya), ambacho zamani kilikuwa lahaja kubwa ya pili pamoja na Kiunguja, Kiamu (kisiwani Lamu, Kenya) na kadhalika. Nyingine ni pamoja na:

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Buliba, Aswani, Kimani Njogu & Alice Mwihaki 2006, "Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili", Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lahaja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.