Tofauti kati ya marekesbisho "Hipparchos wa Nikaia"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sl}} using AWB (10903))
[[Picha:Hipparchos 1.jpeg|thumb|Hipparchos]]
'''Hipparchos''' (kwa [[Kigiriki]] Ἵππαρχος; takr. [[190 KK]] hadi takr. [[120 KK]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[astronomia]], [[jiografia]] na [[hisabati]] wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
Alizaliwa mjini [[Nikaia]] (leo: [[Iznik]] katika [[Uturuki]]) akafariki kwenye [[kisiwa]] cha [[Rhodos]]. Hutazamiwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
 
Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria [[kupatwa kwa jua]] na kukutabiri.
 
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika [[ramani]] ya [[anga]]. Aliweza kukadiria na kutabiri [[kupatwa kwa jua]] na kukutabiri.
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.
 
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria, kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.
[[Jamii:Wanaastronomia]]
 
[[Jamii:wanahisabati]]
[[Jamii:WataalamuWanaastronomia wa Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:wanahisabati wa Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Wataalamu wa Ugiriki ya Kale]]

Urambazaji