Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

Jump to navigation Jump to search
180 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji [[mimea]], [[ufugaji]] wa [[wanyama]], na [[uvuvi]] wa [[samaki]]. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na [[ufugaji]] wa wanyama.
Nchini Tanzania ili kilimo kuendelea wakulima wanatakiwa kupewa elimu,kupewa mikopo ya pesa, na pia wanatakiwa kujishughulisha na kilimo cha umwagiliaji na si tu kutegemea mvua.
 
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi [[mavuno]] hasa kwa uzalishaji wa [[chakula]] cha [[binadamu]] na [[lishe]] ya wanyama, lakini pia kwa shabaha ya kupata [[malighafi]] mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza [[nguo]] za watu.
 

Urambazaji