Wasaksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d +def
Mstari 24: Mstari 24:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


{{DEFAULTSORT:Saksoni}}
[[Category:Makabila ya Kijerumani]]
[[Category:Makabila ya Kijerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]

Pitio la 16:01, 10 Oktoba 2016

Ramani ya Dola la Roma na makabila ya Ulaya mwaka 125 BK, ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazini mwa Ujerumani.

Wasaksoni (kwa Kilatini Saxones, kwa lugha za Kijerumaniki Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la kisu maalumu walichotumia) walikuwa shirikisho la makabila kadhaa ya Wagermanik wakazi wa Ujerumani Kaskazini walioenea katika sehemu za jirani.

Baadhi yao, pamoja na jirani zao Waangli, jumla watu 200,000 hivi, walivamia Britania katika karne ya 5 na baada ya hapo, wakiweka msingi wa Uingereza wa leo.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje