Tofauti kati ya marekesbisho "Watakatifu wote"

Jump to navigation Jump to search
101 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[image:All-Saints.jpg|thumb|300px|right|Watakatifu wote katika [[mchoro]] wa [[Fra Angelico]].]]
{{Ukristo}}
'''Watakatifu wote''' (kwa [[Kigiriki]]: Αγίων Πάντων, ''Agiōn Pantōn'')<ref>{{cite web|author=[[St. John of Shanghai and San Francisco]]|title=Homily on the Feast of All Saints of Russia|url=http://www.russianorthodox-stl.org/all_saints_russia.html|website=St. John Chrysostom Orthodox Church}}</ref> ni [[sherehe]] ya [[liturujia]] katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]]<ref>Roman Missal</ref><ref>{{cite book|title=The Anglican Service Book|url=https://books.google.com/books?id=jN4wspXqHBkC&pg=PA676&dq|accessdate=3 November 2012|date=1 September 1991|publisher=Good Shepherd Press|isbn=0962995509|page=677}}</ref><ref name=Lutheranism>{{cite book |last=Marty |first=Martin E. |title=Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith |year=2007 |publisher=[[Augsburg Fortress]] |location=Minneapolis |isbn=978-0-8066-5350-1 |url=https://books.google.com/books?id=KPRSDFqD-fwC&pg=PA127&dq |authorlink=Martin E. Marty |quote=All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…' |accessdate=2 November 2011 |page=127}}</ref><ref>{{cite book |author=Willimon, William H. |url=https://books.google.com/books?id=YCRga-tv8U4C&pg=PA64&dq=Saints+%2B+Methodism#v=onepage&q=Saints%20%2B%20Methodism&f=false |title=United Methodist Beliefs |page=64 |publisher=Westminster John Knox Press |year=2007 |isbn=9781611640618 |accessdate=30 October 2014}}</ref>
inayoadhimishwa tarehe [[1 Novemba]] katika [[Kanisa la Kilatini]] na madhehebu kadhaa ya [[Uprotestanti]].
 
Ingawa kila mtakatifu anakumbukwa siku maalumu ya mwaka, [[sikukuu]] hii ya pamoja inasisitiza [[uzuri]] wa [[umoja]] wao [[mbinguni]], pamoja na wingi wao, kama ulivyosisitizwa na [[Mtume Yohane]] katika [[Kitabu cha Ufunuo|Ufunuo]]. Hivyo ni chanzo cha [[tumaini]] jipya kwa [[binadamu]] wanaosafiri bado [[duniani]] kuelekea huko kati ya majaribu mengi.
 
==Tazama pia==
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==

Urambazaji