Tofauti kati ya marekesbisho "Watakatifu wote"

Jump to navigation Jump to search
626 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|right|Watakatifu wote katika [[mchoro wa Fra Angelico.]] '''Watakatifu wote''' (kwa Kigiriki: Αγίων Πάντω...')
 
[[image:All-Saints.jpg|thumb|300px|right|Watakatifu wote katika [[mchoro]] wa [[Fra Angelico]].]]
'''Watakatifu wote''' (kwa [[Kigiriki]]: Αγίων Πάντων, ''Agiōn Pantōn'')<ref>{{cite web|author=[[St. John of Shanghai and San Francisco]]|title=Homily on the Feast of All Saints of Russia|url=http://www.russianorthodox-stl.org/all_saints_russia.html|website=St. John Chrysostom Orthodox Church}}</ref> ni [[sherehe]] ya [[liturujia]] katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]]<ref>Roman Missal</ref><ref>{{cite book|title=The Anglican Service Book|url=https://books.google.com/books?id=jN4wspXqHBkC&pg=PA676&dq|accessdate=3 November 2012|date=1 September 1991|publisher=Good Shepherd Press|isbn=0962995509|page=677}}</ref><ref name=Lutheranism>{{cite book |last=Marty |first=Martin E. |title=Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith |year=2007 |publisher=[[Augsburg Fortress]] |location=Minneapolis |isbn=978-0-8066-5350-1 |url=https://books.google.com/books?id=KPRSDFqD-fwC&pg=PA127&dq |authorlink=Martin E. Marty |quote=All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…' |accessdate=2 November 2011 |page=127}}</ref><ref>{{cite book |author=Willimon, William H. |url=https://books.google.com/books?id=YCRga-tv8U4C&pg=PA64&dq=Saints+%2B+Methodism#v=onepage&q=Saints%20%2B%20Methodism&f=false |title=United Methodist Beliefs |page=64 |publisher=Westminster John Knox Press |year=2007 |isbn=9781611640618 |accessdate=30 October 2014}}</ref>
inayoadhimishwa tarehe [[1 Novemba]] katika [[Kanisa la Kilatini]] na madhehebu kadhaa ya [[Uprotestanti]], kumbe Jumapili ya kwanza baada ya [[Pentekoste]] katika [[Ukristo wa mashariki]].
 
[[Desturi]] hiyo ya [[Ukristo wa magharibi]] inatokana na kwamba katika [[mwaka wa Kanisa]] mwezi [[Novemba]] ni wa mwisho, hivyo imeonekana inafaa kuutumia kutafakari juu ya mambo ya mwisho: [[kifo]], [[Hukumu ya mwisho|hukumu]], [[moto wa milele|moto]] na [[Mbingu|mbingu]]. Watakatifu ni watu wanaosadikiwa wamekwishaingia huko [[Paradiso]] walau kwa [[roho]] yao, kama [[Dismas Mtakatifu|mhalifu aliyetubu]] karibu na [[Yesu]] [[Msalaba wa Yesu|msalabani]].
 
Kumbe katika [[Ukristo wa mashariki]] huadhimishwa Jumapili ya kwanza baada ya [[Pentekoste]], ili kusisitiza uhusiano wa [[utakatifu]] wa [[binadamu]] na [[Roho Mtakatifu]]. Ni yeye tu anayewawezesha kushinda [[dhambi]] katika [[maisha]] yao.
 
Walengwa wa [[heshima]] hiyo, baada ya [[Mungu]] aliyewatakasa kwa njia ya [[Yesu Kristo]], ni [[watakatifu]] wote, wanaojulikana na wasiojulikana.

Urambazaji