Neema : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3852175 (translate me)
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q3852175; 29 langlinks remaining
Mstari 14: Mstari 14:
[[es:Gracia divina]]
[[es:Gracia divina]]
[[eo:Graco]]
[[eo:Graco]]
[[fr:Grâce (religion)]]
[[gl:Graza]]
[[gl:Graza]]
[[hak:Ên-tién]]
[[hak:Ên-tién]]

Pitio la 11:38, 22 Septemba 2016

Neema ni neno lenye maana mbalimbali, kama vile za kiroho na za kiuchumi, lakini zote zinaelekeza kumfikiria Mungu kama asili yake kuu.

Teolojia katika dini mbalimbali inatumia neno hilo kadiri ya imani yake.

Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika Ukristo unaosisitiza kwamba yote ni neema. Hata hivyo madhehebu yake yanatofautiana sana katika kutafsiri tamko hilo.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.