Brahmagupta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d (GR) File renamed: File:Brahmagupta.jpgFile:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg File renaming criterion #3: To correct obvious errors in file names, including misspelled [[c::en:Noun#P...
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) (597–668 BK) alikuwa mtaalamu [[Mhindi]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa maandiko yake kuhusu fni hizi mbili.
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) ([[597]]–[[668]] [[BK]]) alikuwa [[Mhindi]] [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa [[maandishi]] yake kuhusu fani hizo mbili.
Alikuwa msimamzi wa [[kituo cha astronomia]] mjini [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).


Alikuwa msimamizi wa [[kituo cha astronomia]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].


Brahmagupta alikuwa [[mwanahisabati]] wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].
Katika fani ya astronomia aliping mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi ni mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uko karibu zaidi.


Katika fani ya astronomia alipinga mafundisho ya siku zake kuwa [[dunia]] ni [[tambarare]] akasisitiza ni [[tufe]]. Pia alipinga mafundisho kuwa [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]] uko mbali kuliko [[jua]] akaonyesha kuwa sharti mwezi uwe karibu zaidi.
[[jamii:wanasayansi wa Uhindi]]

[[jamii:wanaastronomia]]
[[jamii:wanahisabati]]
[[jamii:waliozaliwa 597]]
[[Jamii:waliofariki 668]]
[[jamii:wanaastronomia wa Uhindi]]
[[jamii:wanahisabati wa Uhindi]]

Pitio la 06:23, 18 Septemba 2016

Brahmagupta

Brahmagupta (Kisanskrit: ब्रह्मगुप्त)) (597668 BK) alikuwa Mhindi mtaalamu wa hisabati na astronomia anayekumbukwa kwa maandishi yake kuhusu fani hizo mbili.

Alikuwa msimamizi wa kituo cha astronomia mjini Ujjain (Madhya Pradesh).

Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia sifuri. Alitunga pia sheria za hesabu kwa namba hasi.

Katika fani ya astronomia alipinga mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi uko mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uwe karibu zaidi.