Ella Fitzgerald : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Ella Fitzgerald |
||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini. |
Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini. |
||
Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili |
Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1917 mjini Newport News ([[Virginia|Va]]- [[Marekani]]). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni [[Louis Armstrong]] "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz. |
||
Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; |
Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; |
Toleo la sasa la 15:37, 12 Septemba 2016
Ella Fitzgerald | |
---|---|
Ella Fitzgerald mnamo 1946
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Ella Jane Fitzgerald |
Amezaliwa | 25 Aprili 1917 |
Kazi yake | Mwimbaji, mwigizaji, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1934-1994 |
Studio | Capitol Records |
Tovuti | ellafitzgerald.com |
Ella Fitzgerald (25 Aprili 1917 – 15 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs).
Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.
Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1917 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.
Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.