Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Figo katika ''Gray's Anatomy''.]]
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Figo katika ''Gray's Anatomy''.]]
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake ya juu ni ya kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].


Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], kreatini, bikaboneti na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundu]]).
Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], kreatini, bikaboneti na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundu]]).
Mstari 11: Mstari 11:
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.


Mafigo yanapata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi mawili, [[ateri]] moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]ni. Damu safi inakadiri [[asimilia]] 20-25 za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
Mafigo yanapata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi mawili, [[ateri]] moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]ni. Damu safi inakadiri [[asilimia]] 20-25 za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).


{{mbegu-anatomia}}
{{mbegu-anatomia}}

Pitio la 15:39, 22 Agosti 2016

Figo katika Gray's Anatomy.

Figo ni kiungo cha mwili ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa binadamu. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile urea) na minerali katika damu na kuchuja hizo, pamoja na maji na mkojo.

Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa plazma ya ioni kama vile sodiamu, potasiamu, hidrojeni, oksijeni (hewa) na msombo kama vile asidi amino, kreatini, bikaboneti na glukosi, mafigo yanasawazisha shinikizo la damu, hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundu).

Sayansi ichunguzayo mafigo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya Kigiriki cha kale, "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a figo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatini rēnēs kumaanisha mafigo.

Muundo wa mafigo ya binadamu

Mafigo yapo nyuma ya utambi na kipimo chake ni sentimeta 9 mpaka 13 kwa kipenyo, kipimo cha figo la kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na ubavu wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na tezi ya adrenali zimefunikwa na ngozi mbili zenye mafuta na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo.

Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa Kiingereza), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.

Mafigo yanapata damu chafu kwenye mkole wa tumbo ambayo imegawika katika matawi mawili, ateri moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye vena ya damu safi, inayoelekea kwa vena kava ya chini ya kuendelea mpaka moyoni. Damu safi inakadiri asilimia 20-25 za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Figo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.