Mwamba (jiolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Utamaduni: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sv}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno]]
[[File:DirkvdM rocks.jpg|Right|thumb|Miamba.]]
[[Picha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno.]]
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko wa [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko au mkusanyiko wa mabao ya aina moja au zaidi ya [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.


Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya dunia ni hasa silikati na kabonati.
Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya [[dunia]], ni hasa [[silikati]] na [[kabonati]].


== Aina ya miamba ==
== Aina ya miamba ==
Mstari 27: Mstari 28:


== Utamaduni ==
== Utamaduni ==
Miamba imekuwa ikitumiwa na [[binadamu]] katika [[historia]] yake yote. Hivyo mwamba ni muhimu katika [[utamaduni]] wa watu. Madini na [[metali]] zinazopatikana katika miamba zimekuwa muhimu katika kustaarabika kwa binadamu.
Mwamba ni muhimu katika utamaduni wa watu. Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa visu, shoka au nyundo. Wakati wa [[zama za mawe]] watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.


Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa [[visu]], [[shoka]] au [[nyundo]]. Tangu [[zama za mawe]] miamba ilitumiwa na binadamu kama [[zana]]. Wakati wa [[zama za mawe]] watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.
Vilevile katika ujenzi mataifa mbalimbali yalitumia mwamba au mawe kwa majengo yao.


Vilevile katika [[ujenzi]] mataifa mbalimbali yalitumia mwamba au mawe kwa majengo yao.
Mifano ya kale kabisa ya mwandiko ni mwandiko juu ya mwamba lakini kuna uwezekano ya kwamba watu walitumia pia ubao au kitu kingine lakini miandiko hii haikudumu na kutunzwa hadi leo.


Mifano ya kale kabisa ya [[mwandiko]] ni mwandiko juu ya mwamba: ingawa kuna uwezekano wa kwamba watu walitumia pia [[ubao]] au kitu kingine lakini miandiko hii haikudumu na kutunzwa hadi leo.
Mawe ya thamani kama almasi hutafutwa na watu yakipendeza.

Mawe ya thamani kama [[almasi]] hutafutwa na watu kwa kuwa yapendeza.

{{mbegu-jio}}


[[Jamii:Jiolojia|!]]
[[Jamii:Jiolojia|!]]

Pitio la 12:48, 16 Agosti 2016

Miamba.
Graniti ni mwamba wa kivolkeno.

Mwamba katika jiolojia ni namna ya kutaja mawe au zaidi mchanganyiko au mkusanyiko wa mabao ya aina moja au zaidi ya madini ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.

Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya dunia, ni hasa silikati na kabonati.

Aina ya miamba

Mwamba hutokea kwa namna tatu:

  • mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pala ambako magma au lava inaganda, kwa mfano itale.
  • mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika mmomonyoko na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
    • aina ya pekee ni visukuku ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: makaa mawe.
  • mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.
Mzunguko wa miamba: 1 = magma au lava; 2 = kuganda kwa magma; 3 = mwamba wa kivolkeno; 4 = mmomonyoko; 5 = mashapo; 6 = mashapo + mwamba mashapo; 7 = mwendo wa gandunia, kuzama kwa mwamba na metamofosi; 8 = mwamba metamofia; 9 = kuyeyuka kwa mwamba ulio chini kwenye koti ya dunia kuwa magma mpya.

Mzunguko wa miamba

Miamba hubadilishwa umbo katika muda wa miaka mamilioni. Madini yao huingia katika hali mbalimbali ya mwamba.

  • a) Mwamba wa kivolkeno hutokea kwa kuganda kwa magma au lava.
  • b) Mwamba huu huvunjika kwa mmomonyoko na vipande vyake hubebwa na maji au upepo mahali vinapolala kama ganda la mashapo.
  • c) Mashapo kukandamizwa kwa njia ya kanieneo na kuwa mwamba mashapo.
  • d) Mwamba mashapo hufikia katika kina kubwa na kugeuzwa kwa njia ya metamofosi kuwa mwamba metamofia.
  • e) Hata hii mwamba metamofia husukumwa na nguvu za gandunia kufika tena juu na kupatwa na mmomonyoko kuwa mwamba mashapo.
  • f) Kila aina ya mwamba unaweza kumezwa na mwendo wa gandunia na kuyeyushwa tena kuwa magma.

Meteori

Meteori ni mwamba wa pekee mwenye asili isiyo ya dunia yetu. Meteori nyingi zimejitokeza katika anga ya nje kutokana na mabaki ya mada ya nyota au pia kutokana na kuvunjika kwa sayari nyingine.

Utamaduni

Miamba imekuwa ikitumiwa na binadamu katika historia yake yote. Hivyo mwamba ni muhimu katika utamaduni wa watu. Madini na metali zinazopatikana katika miamba zimekuwa muhimu katika kustaarabika kwa binadamu.

Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa visu, shoka au nyundo. Tangu zama za mawe miamba ilitumiwa na binadamu kama zana. Wakati wa zama za mawe watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.

Vilevile katika ujenzi mataifa mbalimbali yalitumia mwamba au mawe kwa majengo yao.

Mifano ya kale kabisa ya mwandiko ni mwandiko juu ya mwamba: ingawa kuna uwezekano wa kwamba watu walitumia pia ubao au kitu kingine lakini miandiko hii haikudumu na kutunzwa hadi leo.

Mawe ya thamani kama almasi hutafutwa na watu kwa kuwa yapendeza.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.