Msichana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Removing "Girl--05.jpg", it has been deleted from Commons by INeverCry because: per c:Commons:Deletion requests/File:Girl--05.jpg.
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Bozo girl.jpg|thumb|350px|right|Msichana [[Afrika|Mwafrika]] wa [[Mali]].]]
[[Picha:Bozo girl.jpg|thumb|350px|right|Msichana [[Afrika|Mwafrika]] wa [[Mali]].]]

[[Picha:Girl--05.jpg|thumb|350px|right|Msichana [[Mzungu]].]]
'''Msichana''' ni [[mwanamke]] ambaye hajafikia [[ukomavu]] wa [[utu uzima]], ni [[kijana]] wa [[jinsia]] ya kike, ijapokuwa si tena [[mtoto]] tu wa [[binadamu]].
'''Msichana''' ni [[mwanamke]] ambaye hajafikia [[ukomavu]] wa [[utu uzima]], ni [[kijana]] wa [[jinsia]] ya kike, ijapokuwa si tena [[mtoto]] tu wa [[binadamu]].



Pitio la 01:35, 12 Agosti 2016

Msichana Mwafrika wa Mali.

Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu.

Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili.

Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na hedhi.

Tazama pia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: