Manispaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
manisipaa kua manispaa
Mstari 1: Mstari 1:
'''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni [[mji]] mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.
'''Manispaa''' (ing. ''municipality'') ni [[mji]] mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

==Manisipaa za Tanzania==
==Manispaa za Tanzania==
Nchini [[Tanzania]] manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.
Nchini [[Tanzania]] manispaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.

Katika muundo wa utawala manisipaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manisipaa (''Municipal Council'').
Katika muundo wa utawala manispaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manispaa (''Municipal Council'').

Manisipaa za Tanzania ni [[Bukoba (mji)|Bukoba ]], [[Dodoma (mji)|Dodoma ]], [[Iringa (mji)|Iringa ]], [[Kigoma (mji)|Kigoma ]], [[Lindi (mji)|Lindi ]], [[Morogoro (mji)|Morogoro ]], [[Moshi (mji)|Moshi ]], [[Mtwara (mji)|Mtwara ]], [[Musoma (mji)|Musoma ]], [[Shinyanga (mji)|Shinyanga ]], [[Singida (mji)|Singida ]], [[Songea (mji)|Songea ]], [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga ]], [[Tabora (mji)|Tabora ]].

Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.
Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.
*[[Jiji la Dar es Salaam]] limegawiwa kwa manisipaa (wilaya) tatu za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]], [[Temeke]] na [[Ilala]].
*[[Jiji la Dar es Salaam]] limegawiwa kwa manispaa (wilaya) tatu za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]], [[Temeke]] na [[Ilala]].
*[[Jiji la Mwanza]] limegawiwa kwa manisipaa (wilaya) za [[Nyamagana]] na [[Ilemela]]
*[[Jiji la Mwanza]] limegawiwa kwa manispaa (wilaya) za [[Nyamagana]] na [[Ilemela]]

Pitio la 00:45, 11 Agosti 2016

Manispaa (ing. municipality) ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

Manispaa za Tanzania

Nchini Tanzania manispaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.

Katika muundo wa utawala manispaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manispaa (Municipal Council).

Manisipaa za Tanzania ni Bukoba , Dodoma , Iringa , Kigoma , Lindi , Morogoro , Moshi , Mtwara , Musoma , Shinyanga , Singida , Songea , Sumbawanga , Tabora .

Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.