Juma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Juma''' au '''wiki''' ni kipindi cha [[siku]] saba. Kila siku ina jina lake.
'''Juma''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) au '''wiki''' (kutoka [[Kiingereza]] "week") ni kipindi cha [[siku]] [[saba]]. Kila siku ina [[jina]] lake.


Katika [[mwaka]] wa [[kalenda ya Gregori]] mna majuma 52 pamoja na siku moja au mbili za ziada. Hesabu ya majuma inaendelea mfululizo bila ya kuanza upya wakati wa mwaka mpya.
Katika [[mwaka]] wa [[kalenda ya Gregori]] mna majuma 52 pamoja na siku moja au mbili za ziada. [[Hesabu]] ya majuma inaendelea mfululizo bila ya kuanza upya wakati wa [[mwaka mpya]].

Ufuatano wa juma haulingani na mgawanyo mwingine wa wakati kwa njia ya [[mwezi (wakati)|miezi]] au mwaka.
Ufuatano wa majuma haulingani na mgawanyo mwingine wa wakati kwa njia ya [[mwezi (wakati)|miezi]] au mwaka.


== Mapokeo ya Kiyahudi-Kikristo ==
== Mapokeo ya Kiyahudi-Kikristo ==
Asili ya juma ni katika [[utamaduni]] wa kale wa [[Mashariki ya Kati]] tangu [[Babiloni]]. Imeenea duniani kote kupitia [[Biblia]] na desturi za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]].
Asili ya juma ni katika [[utamaduni]] wa kale wa [[Mashariki ya Kati]] tangu [[Babiloni]]. Imeenea [[duniani]] kote kupitia [[Biblia]] na [[desturi]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]].


Ufuatano wa siku katika mapokeo haya huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:
Ufuatano wa siku katika [[mapokeo]] hayo huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:
* [[Jumapili]] (Dominika)
* [[Jumapili]] ([[Siku ya Bwana|Dominika]])
* [[Jumatatu]]
* [[Jumatatu]]
* [[Jumanne]]
* [[Jumanne]]
Mstari 14: Mstari 15:
* [[Alhamisi]]
* [[Alhamisi]]
* [[Ijumaa]]
* [[Ijumaa]]
* [[Jumamosi]] (Sabato)
* [[Jumamosi]] ([[Sabato]])


Katika mwaka juma moja la [[Machi]] mwishoni au [[Aprili]] linaadhimishwa na Wakristo wengi kama [[Juma kuu]], ambapo wanaadhimisha matukio makuu ya [[imani]] yao kadiri ya [[historia ya wokovu]], yaani [[mateso]], [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]].
Katika mwaka juma moja la [[Machi]] mwishoni au la [[Aprili]] linaadhimishwa na [[Wakristo]] wengi kama [[Juma kuu]], ambapo wanaadhimisha matukio makuu ya [[imani]] yao kadiri ya [[historia ya wokovu]], yaani [[mateso]], [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]].


Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''(kutoka [[Kiingereza]]: "weekend", yaani mwisho wa juma)''. Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya.
Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''(kutoka [[Kiingereza]]: "weekend", yaani mwisho wa juma)''. Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya, si mwisho wake.


== Majina ya siku kwa Kiswahili ==
== Majina ya siku kwa Kiswahili ==
Majina ya siku tano kwa Kiswahili ni ya namba zinazoanza kuhesabiwa baada ya siku ya Ijumaa (ambayo ni siku ya sala kuu katika [[Uislamu]]):
Majina ya siku tano kwa Kiswahili ni ya [[namba]] zinazoanza kuhesabiwa baada ya siku ya Ijumaa (ambayo ni siku ya [[sala]] kuu katika [[Uislamu]]): Ijumaa - Jumamosi - Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano.

Ijumaa - Jumamosi - Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano.
Alhamisi na Ijumaa ni majina ya lugha ya [[Kiarabu]] inayofuata mapokeo ya Kiyahudi kuhusu majina ya siku.
Alhamisi na Ijumaa ni majina ya [[lugha]] ya [[Kiarabu]] inayofuata mapokeo ya Kiyahudi kuhusu majina ya siku.


Hivyo "Alhamisi" ina maana ya "siku ya tano" (baada ya Jumamosi inayoitwa "sabat" kwa Kiarabu sawa kama "shabbat" (=[[sabato]]) kwa [[Kiebrania]] (lugha ya [[Wayahudi]]).
Hivyo "Alhamisi" ina maana ya "siku ya tano" (baada ya Jumamosi inayoitwa "sabat" kwa Kiarabu, sawa kama "shabbat" kwa [[Kiebrania]] (lugha ya [[Wayahudi]]).


"Ijumaa" ni matamshi ya Kiswahili ya jina la Kiarabu la "jum'a" inayomaanisha "siku ya mkutano" (= ya kusali pamoja).
"Ijumaa" ni matamshi ya [[Kiswahili]] ya jina la Kiarabu la "jum'a" inayomaanisha "siku ya mkutano" (= ya kusali pamoja).
{{Siku za juma}}
{{Siku za juma}}
{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-utamaduni}}


[[Jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Kalenda]]

Toleo la sasa la 12:33, 10 Agosti 2016

Juma (kutoka neno la Kiarabu) au wiki (kutoka Kiingereza "week") ni kipindi cha siku saba. Kila siku ina jina lake.

Katika mwaka wa kalenda ya Gregori mna majuma 52 pamoja na siku moja au mbili za ziada. Hesabu ya majuma inaendelea mfululizo bila ya kuanza upya wakati wa mwaka mpya.

Ufuatano wa majuma haulingani na mgawanyo mwingine wa wakati kwa njia ya miezi au mwaka.

Mapokeo ya Kiyahudi-Kikristo[hariri | hariri chanzo]

Asili ya juma ni katika utamaduni wa kale wa Mashariki ya Kati tangu Babiloni. Imeenea duniani kote kupitia Biblia na desturi za Uyahudi na Ukristo.

Ufuatano wa siku katika mapokeo hayo huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:

Katika mwaka juma moja la Machi mwishoni au la Aprili linaadhimishwa na Wakristo wengi kama Juma kuu, ambapo wanaadhimisha matukio makuu ya imani yao kadiri ya historia ya wokovu, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo.

Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "wikendi" (kutoka Kiingereza: "weekend", yaani mwisho wa juma). Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya, si mwisho wake.

Majina ya siku kwa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

Majina ya siku tano kwa Kiswahili ni ya namba zinazoanza kuhesabiwa baada ya siku ya Ijumaa (ambayo ni siku ya sala kuu katika Uislamu): Ijumaa - Jumamosi - Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano.

Alhamisi na Ijumaa ni majina ya lugha ya Kiarabu inayofuata mapokeo ya Kiyahudi kuhusu majina ya siku.

Hivyo "Alhamisi" ina maana ya "siku ya tano" (baada ya Jumamosi inayoitwa "sabat" kwa Kiarabu, sawa kama "shabbat" kwa Kiebrania (lugha ya Wayahudi).

"Ijumaa" ni matamshi ya Kiswahili ya jina la Kiarabu la "jum'a" inayomaanisha "siku ya mkutano" (= ya kusali pamoja).

Siku za juma (wiki)
Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano - Alhamisi - Ijumaa - Jumamosi
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.