Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
PK2 (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
Mstari 53: Mstari 53:
}}
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] ya [[bara]] la [[Asia]].
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] kubwa ya [[bara]] la [[Asia]], upande wa [[kusini]], ikienea hasa kati ya [[Bahari ya Hindi]].


Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa [[idadi]] ya wakazi (1,210,193,422 mwaka [[2011]]) ni nchi ya pili [[dunia]]ni baada ya [[China]]. Kati ya nchi za ki[[demokrasia]] ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani.
Kwa eneo ina nafasi ya saba [[duniani]], lakini kwa [[idadi]] ya wakazi (1,210,193,422 mwaka [[2011]]) ni nchi ya pili baada ya [[China]]. Kati ya nchi za ki[[demokrasia]] ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani.


Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
Mstari 67: Mstari 67:


==Watu==
==Watu==
[Lugha ya taifa]] ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]], pamoja na [[Kiingereza]] ambacho pia ni [[lugha rasmi]]. Kuna [[lugha]] 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.
[[Lugha ya taifa]] ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]], pamoja na [[Kiingereza]] ambacho pia ni [[lugha rasmi]]. Kuna [[lugha]] 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.


Kusini mwa Uhindi watu husema [[lugha za Kidravidi]] kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]].
Kusini mwa Uhindi watu husema [[lugha za Kidravidi]] kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]].


Kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].
[[Kaskazini]] husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].


Lugha ndogo chache ambazo si lugha za Kihindi-Kiulaya (74 %) wala za Kidravidi (24 %) ni [[lugha za Kisino-Tibeti]], [[lugha za Kiaustro-Asiatiki]] au [[lugha za Kitai-Kadai]]. [[Visiwani]] mwa Andaman, kulikuwa na [[lugha za Kiandamani]] lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.
Lugha ndogo chache ambazo si lugha za Kihindi-Kiulaya (74 %) wala za Kidravidi (24 %) ni [[lugha za Kisino-Tibeti]], [[lugha za Kiaustro-Asiatiki]] na [[lugha za Kitai-Kadai]]. [[Visiwani]] mwa [[Andaman]], kulikuwa na [[lugha za Kiandamani]] lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.


Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 14.2 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika [[umma]] wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa [[Indonesia]] na Pakistan.
Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 14.2 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika [[umma]] wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa [[Indonesia]] na Pakistan.

Pitio la 05:55, 7 Agosti 2016

Uhindi

Uhindi (pia: India) ni nchi kubwa ya bara la Asia, upande wa kusini, ikienea hasa kati ya Bahari ya Hindi.

Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi (1,210,193,422 mwaka 2011) ni nchi ya pili baada ya China. Kati ya nchi za kidemokrasia ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani.

Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Mji mkuu ni New Delhi, lakini mji mkubwa zaidi ni Mumbai.

Historia

Tazama pia: Uhindi wa Kiingereza

Watu

Lugha ya taifa ni Kihindi, ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya, pamoja na Kiingereza ambacho pia ni lugha rasmi. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.

Kusini mwa Uhindi watu husema lugha za Kidravidi kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam.

Kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.

Lugha ndogo chache ambazo si lugha za Kihindi-Kiulaya (74 %) wala za Kidravidi (24 %) ni lugha za Kisino-Tibeti, lugha za Kiaustro-Asiatiki na lugha za Kitai-Kadai. Visiwani mwa Andaman, kulikuwa na lugha za Kiandamani lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.

Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 14.2 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika umma wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa Indonesia na Pakistan.

Dini nyingine ni Ukristo (2.3 %), Usikh (1,7 %), Ubuddha (0.7 %), Ujain (0.4 %), Uzoroastro na Bahai.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.