Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
==Demokrasia==
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]]
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]]
'''Demokrasia''' (kutoka neno la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya [[serikali]].

Mstari 13: Mstari 12:
{{mbegu-siasa}}
{{mbegu-siasa}}

== Misingi ya Demokrasia ==
[[Jamii:Aina za serikali]]
[[Jamii:Aina za serikali]]
__FORCETOC__
__FORCETOC__

Pitio la 08:26, 28 Julai 2016

Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.

Demokrasia (kutoka neno la Kigiriki δημοκρατία, dēmokratía, maana yake utawala wa watu: δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya serikali.

Neno hilo lilitumika kuanzia karne ya 5 KK kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika Athene na miji mingine kadhaa ya Ugiriki, kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".

Kwenye demokrasia watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao.

Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kwa kawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya siasa huhusika na masuala ya siasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi kitamchagua kiongozi kinayemtaka.