Carol Greider : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Carol Greider''' (amezaliwa 15 Aprili, 1961) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kim...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:50, 20 Julai 2016

Carol Greider (amezaliwa 15 Aprili, 1961) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza vimeng'enya vya telomeri. Mwaka wa 2009, pamoja na Elizabeth Blackburn na Jack Szostak, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carol Greider kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.