Mia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22: Mstari 22:


[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Namba asilia]]

Pitio la 12:47, 9 Julai 2016

Mia ni namba inayoandikwa 100 (moja sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida , ila kwa namba za Kirumi tu (kutokana na neno la Kilatini centum, yaani mia moja).

Ni namba asilia inayofuata 99 na kutangulia 101.

Ni mraba wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 102.

Namba 100 ni msingi wa asilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.

Tanbihi


Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.