Kanuti IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kanuti IV''' (maarufu kwa Kidani kama "Knud den Hellige", "Kanuti mtakatifu", 1043 - Odense, 10 Julai 1086), alikuwa mfalme...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Christian-albrecht-von-benzon, the death of Canute the Holy.jpg|thumb|250px|''Uuaji wa Mt. Kanuti'' ulivyochorwa na Christian Albrecht von Benzon, [[1843]].]]
'''Kanuti IV''' (maarufu kwa [[Kidenmark|Kidani]] kama "Knud den Hellige", "Kanuti mtakatifu", [[1043]] - [[Odense]], [[10 Julai]] [[1086]]), alikuwa [[mfalme]] wa [[Udani]] kuanzia mwaka [[1080]] hadi siku ya kuuawa.
'''Kanuti IV''' (maarufu kwa [[Kidenmark|Kidani]] kama "Knud den Hellige", "Kanuti mtakatifu", [[1043]] - [[Odense]], [[10 Julai]] [[1086]]), alikuwa [[mfalme]] wa [[Udani]] kuanzia mwaka [[1080]] hadi siku ya kuuawa.



Pitio la 14:46, 2 Julai 2016

Uuaji wa Mt. Kanuti ulivyochorwa na Christian Albrecht von Benzon, 1843.

Kanuti IV (maarufu kwa Kidani kama "Knud den Hellige", "Kanuti mtakatifu", 1043 - Odense, 10 Julai 1086), alikuwa mfalme wa Udani kuanzia mwaka 1080 hadi siku ya kuuawa.

Pamoja na utakatifu wake, alionyesha bidii kubwa kwa uimarishaji wa mamlaka yake ndani na nje ya nchi.

Aliuawa ndani ya kanisa, mbele ya altare, pamoja na watu wengine 18.

Wananchi walimheshimu mara moja kama mtakatifu, na Papa Paskali II alithibitisha heshima hiyo mwaka 1101.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanuti IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.