Mia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d mbegu --> hisabati |
No edit summary |
||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
{{Reflist}} |
{{Reflist}} |
||
{{mbegu-hisabati}} |
|||
[[Category:Namba]] |
|||
== Tanbihi == |
|||
<!--- See [[Wikipedia:Footnotes]] on how to create references using <ref></ref> tags which will then appear here automatically --> |
<!--- See [[Wikipedia:Footnotes]] on how to create references using <ref></ref> tags which will then appear here automatically --> |
||
{{Reflist}} |
{{Reflist}} |
||
Mstari 23: | Mstari 19: | ||
* [http://www.wisdomportal.com/Numbers/100.html On the Number 100] |
* [http://www.wisdomportal.com/Numbers/100.html On the Number 100] |
||
{{mbegu}} |
{{mbegu-hisabati}} |
||
[[ |
[[Jamii:Hisabati]] |
||
[[Jamii:Namba]] |
[[Jamii:Namba]] |
Pitio la 11:37, 2 Julai 2016
Mia ni namba inayoandikwa 100 (moja sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida , ila kwa namba za Kirumi Ⅽ tu (kutokana na neno la Kilatini centum, yaani mia moja).
Ni namba asilia inayofuata 99 na kutangulia 101.
Ni mraba wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 102.
Namba 100 ni msingi wa asilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.
Tanbihi
- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group. (1987): 133
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |