Lava (volkeno) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya lava</sup> thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo k...'
 
Ukurasa umeelekezwa kwenda Zaha
Mstari 1: Mstari 1:
#REDIRECT [[zaha]]
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]

'''Lava''' ni [[magma]] inayotoka kwenye uso wa dunia. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .

Mahali pa kutokea kwa lava kwa kawaida ni [[volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Ndani ya [[kasoko]] ya [[volkeno]] lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka. Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto wa moto.

Ikipoa inaganda na kuwa [[mwamba (jiolojia)|mwamba]].

== Picha ==
<gallery>
Image:Stromboli Eruption.jpg|Mlipuko wa volkeno ya [[Stromboli]] nchini Italia. Sehemu zenye rangi nyekundu / njano ni lava inayorushwa hewani.
Image:Aa_large.jpg|Mto wa lava kutoka mlima [[Kilauea]] huko [[Hawaii]]
Image:Dripstone in Skull Cave in Lava Beds NM-750px.jpg|Lava ikipoa inaweza kuonekana kama hapa.
</gallery>

== Marejeo ==
<references/>


[[Category:Volkeno]]
[[Jamii:Jiolojia]]

Pitio la 12:42, 22 Juni 2016

Inaelekeza kwa: