Tanganyika African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
+picha na maelezo yake
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Flag of TANU.svg|thumb|Bendera]]
[[Picha:Flag of TANU.svg|thumb|Bendera]]
[[File:Takadir - Nyerere.jpg|thumb|Kutoka kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, [[John Rupia]] na [[Julius Nyerere]]. Hao Waliowazunguka na silaha za jadi ni [[Bantu Group]] kundi la vijana wa [[TANU]] lililokuwa linatoa ulinzi kwa viongozi wa TANU. Picha Hii Ilipigwa Mwaka wa 1955.]]

[[File:WAZEE WA TANU.jpg|thumb|Baraza la Wazee wa TANU
Sheikh Suleiman Takadir wa pili chini kulia, wa pili waliosimama [[Dossa Aziz]], wa sita Julius Nyerere, wa saba John Rupia, wa tisa [[Said Chamwenyewe]], anayefuatia [[Jumbe Tambaza]], [[Mshume Kiyate]].]]
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.



Pitio la 08:50, 17 Juni 2016

Bendera
Kutoka kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, John Rupia na Julius Nyerere. Hao Waliowazunguka na silaha za jadi ni Bantu Group kundi la vijana wa TANU lililokuwa linatoa ulinzi kwa viongozi wa TANU. Picha Hii Ilipigwa Mwaka wa 1955.
Baraza la Wazee wa TANU Sheikh Suleiman Takadir wa pili chini kulia, wa pili waliosimama Dossa Aziz, wa sita Julius Nyerere, wa saba John Rupia, wa tisa Said Chamwenyewe, anayefuatia Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate.

Tanganyika African National Union (TANU) kilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi muungano wa chama hiki na Chama cha Afro-Shirazi cha Zanzibar ulipounda Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1977.

TANU ilianzishwa 7 Julai 1954 kutokana na Tanganyika African Association (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage Nyerere.

TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanganyika hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Katiba ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa zenye muundo wa siasa ya chama kimoja.