Moskva (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 45 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q175117 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 18: Mstari 18:
[[Picha:Moskvarivermap.png|thumb|right|300px|Ramani ya beseni ya [[Volga]] pamoja na Moskva]]
[[Picha:Moskvarivermap.png|thumb|right|300px|Ramani ya beseni ya [[Volga]] pamoja na Moskva]]


'''Mto Moskva''' ([[Kirusi]]: '''Москва''') ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya [[Moscow]] na [[Smolensk]] na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa [[Kolomna]]. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya [[Volga]].
'''Mto Moskva''' ([[Kirusi]]: '''Москва''') ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya [[Moscow]] na [[Smolensk]] na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika [[mto Oka]] kwenye mji wa [[Kolomna]]. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya [[Volga]].


[[Jamii:Mito ya Urusi]]
[[Jamii:Mito ya Urusi]]

Toleo la sasa la 16:01, 9 Juni 2016

Mto Moskva
Mto Moskva mjini Moscow
Chanzo Vilima vya Smolensk
Mdomo Mto Oka (karibu na Kolomna)
Nchi Urusi
Urefu 509 km
Mkondo 7,000 m³/s
Eneo la beseni 17,600 km²
Miji mikubwa kando lake Moscow
Ramani ya beseni ya Volga pamoja na Moskva

Mto Moskva (Kirusi: Москва) ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya Moscow na Smolensk na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa Kolomna. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya Volga.