Lumemo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Kipala alihamisha ukurasa wa Lumelo hadi Lumemo
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:22, 3 Juni 2016

Lumemo[1] ni kata ya Wilaya ya Kilombero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,599 [2] walioishi humo.

Marejeo

  1. Katika orodha ya sensa ya 2002 kata hii ilandikwa "Lumelo". Haijulikani kama hii ni umbo mbadala au kosa.
  2. Sensa ya 2012, Morogoro - Kilombero DC
Kata za Wilaya ya Kilombero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Ching'anda | Chisano | Chita | Idete | Ifakara | Igima | Kalengakelo | Kamwene | Katindiuka | Kibaoni | Kiberege | Kidatu | Kisawasawa | Lipangalala | Lumemo | Mang’ula 'B' | Mang'ula | Masagati | Mbasa | Mbingu | Mchombe | Michenga | Mkula | Mlabani | Mlimba | Mngeta | Mofu | Msolwa Station | Mwaya | Namwawala | Sanje | Signal | Utengule (Kilombero) | Viwanja Sitini


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lumemo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.