Uraia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uraia''' ni hali ya mtu kutambulika chini ya sheria kama mjumbe wa nchi fulani.'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Uraia''' ni hali ya mtu kutambulika chini ya [[sheria]] kama mjumbe wa [[nchi]] fulani.
'''Uraia''' ni hali ya [[mtu]] kutambulika chini ya [[sheria]] kama mwananchi mwenye haki zote katika [[nchi]] fulani. Mtu huyohuyo pengine anaweza kuwa raia wa nchi zaidi ya [[moja]]. Hata hivyo kuna watu wasio na uraia wa nchi yoyote.

Mtu anapata uraia kufuatana na sheria za nchi husika. Kwa kawaida ni kwa sababu [[wazazi]] wake ni raia wa nchi hiyo naye amezaliwa nchini humo. Lakini si hivyo kila mara, kwa sababu anaweza kuwa na wazazi raia wa nchi tofauti, au anaweza kuzaliwa nje ya nchi yao. Pengine wazazi wenyewe hawakuzaliwa katika nchi ambayo wana uraia wake.

Sheria zinaweza kukubali uraia kwa msingi wa:
* uraia wa wazazi wote au mmojawapo
* kuzaliwa nchini
* [[Ndoa|kuoana na raia]]
* kuandikishwa baada ya kuishi nchini muda mrefu

Mara chache sheria inazuia watu kupewa uraia kwa msingi wa [[dini]] n.k.

==Marejeo==
* {{Cite book
| last = [[Daniele Archibugi|Archibugi, Daniele]]
| year = 2008
| title = The Global Commonwealth of Citizens. Toward Cosmopolitan Democracy | publisher = Princeton University Press
| isbn = 978-1-4008-2976-7
}}
* Beaven, Brad, and John Griffiths. "Creating the Exemplary Citizen: The Changing Notion of Citizenship in Britain 1870–1939," ''Contemporary British History'' (2008) 22#2 pp 203–225 {{doi|10.1080/13619460701189559}}
* {{Cite book
| last = [[Joseph Carens|Carens, Joseph]]
| year = 2000
| title = Culture, Citizenship, and Community: A Contextual Exploration of Justice as Evenhandedness
| publisher = Oxford University Press
| isbn = 978-0-19-829768-0
}}
* {{Cite book
| last = Heater
| first = Derek
| year = 2004
| title = A Brief History of Citizenship
| publisher = NYU Press
| isbn = 978-0-8147-3672-2
}}
* {{Cite book
| last =Kymlicka
|first=Will
|authorlink=Will Kymlicka
| year = 1995
| title = Multicultural Citizenship: A Liberal Theory of Minority Rights
| publisher = Oxford University Press
| isbn = 978-0-19-829091-9
}}
* {{Cite book
| last = Maas
| first = Willem
| year = 2007
| title = Creating European Citizens
| publisher = Rowman & Littlefield
| isbn = 978-0-7425-5486-3
}}
* {{Cite book
| last = Marshall
| first = T.H.
| year = 1950
| title = Citizenship and Social Class and Other Essays
| publisher = Cambridge University Press
}}
* {{Cite book
| last = Shue
| first = Henry
| year = 1950
| title = Basic Rights
| publisher =
| id =
}}
* {{Cite book
| last = Smith
| first = Rogers
| year = 2003
| title = Stories of Peoplehood: The Politics and Morals of Political Membership
| publisher = Cambridge University Press
| isbn = 978-0-521-52003-4
}}
* {{Cite book
| last = Somers
| first = Margaret
| year = 2008
| title = Genealogies of Citizenship: Markets, Statelessness, and the Right to Have Rights
| publisher = Cambridge University Press
| isbn = 978-0-521-79394-0
}}
* {{Cite book
| last = Soysal
| first = Yasemin
| year = 1994
| title = Limits of Citizenship. Migrants and Postnational Membership in Europe
| publisher = University of Chicago Press
}}
* {{Cite book
| last = Turner
| first = Bryan S.
| year = 1994
| title = Citizenship and Social Theory
| publisher = Sage
| isbn = 978-0-8039-8611-4
}}
* {{Cite journal | last = Young | first = Iris Marion | author-link = Iris Marion Young | title = Polity and group difference: A critique of the ideal of universal citizenship | journal = [[Ethics (journal)]] | volume = 99 | issue = 2 | pages = 250–274 | publisher = [[University of Chicago Press]] | jstor = 2381434 | date = January 1989 | url = http://www.jstor.org/stable/2381434 | ref = harv | postscript = .}}

==Viungo vya nje==
* [http://www.bbc.co.uk/schools/pshe_and_citizenship/ BBC PSHE & Citizenship]
* [http://papers.ssrn.com/sol3/papers.cfm?abstract_id=2280329 The Life in the UK Citizenship Test Report by Thom Brooks]
* {{Cite web
| url = http://opm.gov/extra/investigate/IS-01.pdf
| title = Citizenship Laws of the World
| accessdate = 2007-03-07
|date=March 2001
| format = pdf
| publisher = United States Office of Personnel Management Investigations Service
| archiveurl = https://web.archive.org/web/20060404042127/http://www.opm.gov/extra/investigate/IS-01.pdf
| archivedate = 2006-04-04
}}

{{mbegu-sheria}}

[[Category:Siasa| ]]
[[Category:Sheria]]

Pitio la 14:31, 23 Mei 2016

Uraia ni hali ya mtu kutambulika chini ya sheria kama mwananchi mwenye haki zote katika nchi fulani. Mtu huyohuyo pengine anaweza kuwa raia wa nchi zaidi ya moja. Hata hivyo kuna watu wasio na uraia wa nchi yoyote.

Mtu anapata uraia kufuatana na sheria za nchi husika. Kwa kawaida ni kwa sababu wazazi wake ni raia wa nchi hiyo naye amezaliwa nchini humo. Lakini si hivyo kila mara, kwa sababu anaweza kuwa na wazazi raia wa nchi tofauti, au anaweza kuzaliwa nje ya nchi yao. Pengine wazazi wenyewe hawakuzaliwa katika nchi ambayo wana uraia wake.

Sheria zinaweza kukubali uraia kwa msingi wa:

  • uraia wa wazazi wote au mmojawapo
  • kuzaliwa nchini
  • kuoana na raia
  • kuandikishwa baada ya kuishi nchini muda mrefu

Mara chache sheria inazuia watu kupewa uraia kwa msingi wa dini n.k.

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uraia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.