Theluthi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Theluthi''' ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''. Inalinga...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 10:29, 16 Mei 2016
Theluthi ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani.
Inaweza kuandikwa kama au 1/3.
Inalingana na takriban asilimia 33,33 %
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .