19 Juni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Viungo vya nje: rekebisha viungo using AWB |
|||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
||
{{commons| |
{{commons|June 19}} |
||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/ |
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/june/19 BBC: On This Day] |
||
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/ |
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/June_19 Today in Canadian History] |
||
{{DEFAULTSORT:Juni 19}} |
{{DEFAULTSORT:Juni 19}} |
Pitio la 17:23, 26 Aprili 2016
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1623 - Blaise Pascal, mtaalamu wa hisabati, falsafa na teolojia kutoka Ufaransa
- 1861 - José Rizal, mwandishi mzalendo kutoka Ufilipino
- 1897 - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1906 - Ernst Boris Chain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1945
- 1910 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 1919 - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1945 - Aung San Suu Kyi, mwanasiasa wa Myanmar na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1991
- 1962 - Paula Abdul, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1978 - Zoe Saldana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
= Waliofariki
- 1027 - Mtakatifu Romwaldo, abati kutoka Italia
- 1926 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 1993 - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1983
- 2000 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 2008 - Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2013 - James Gandolfini, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani