Kamchatka : Tofauti kati ya masahihisho

Majiranukta: 57°N 160°E / 57°N 160°E / 57; 160
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Coord|57|N|160|E|region:RU-KAM_scale:5000000|display=title}}
{{Coord|57|N|160|E|region:RU-KAM_scale:5000000|display=title}}
[[File:Map of Russia - Kamchatka Krai (2008-03).svg|thumb|300px|Rasi ya Kamchatka kwenye mashariki ya Urusi]]
[[File:Map of Russia - Kamchatka Krai (2008-03).svg|thumb|300px|Rasi ya Kamchatka kwenye mashariki ya Urusi]]
{{Double image|right|Kamchatka Peninsula.jpg|200|Sea Ice Imitates the Shoreline along the Kamchatka Peninsula.jpg|100|Picha mbili za Kamchatka kutoka angani; '''kushoto:''' rasi wakati wa Juni, kuna mawingu mengi upande wa mashariki; '''kulia:''' rasi yote pamoja na bahari ya karibu imefunikwa kwa theluji na barafu wakati wa Januari.}}
{{Double image|right|Kamchatka Peninsula.jpg|200|Sea Ice Imitates the Shoreline along the Kamchatka Peninsula.jpg|200|Picha mbili za Kamchatka kutoka angani; '''kushoto:''' rasi wakati wa Juni, kuna mawingu mengi upande wa mashariki; '''kulia:''' rasi yote pamoja na bahari ya karibu imefunikwa kwa theluji na barafu wakati wa Januari.}}
'''Rasi ya Kamchatka''' ([[rus.]] ''полуо́стров Камча́тка'' ''poluostrov Kamchatka'') ni [[rasi]] kwenye upande wa wa mashariki ya [[Urusi]]. Ina urefu wa kilomita 1,250 na eneo la 270,000 [[km²]].<ref>''Быкасов В. Е.'' [http://www.bykasov.com/1991/oshibka-v-geografii Ошибка в географии] // Известия Всесоюзного Географического Общества. — 1991. — № 6. {{ru icon}}</ref>

Pitio la 11:12, 19 Aprili 2016

57°N 160°E / 57°N 160°E / 57; 160

Rasi ya Kamchatka kwenye mashariki ya Urusi
Picha mbili za Kamchatka kutoka angani; kushoto: rasi wakati wa Juni, kuna mawingu mengi upande wa mashariki; kulia: rasi yote pamoja na bahari ya karibu imefunikwa kwa theluji na barafu wakati wa Januari.

Rasi ya Kamchatka (rus. полуо́стров Камча́тка poluostrov Kamchatka) ni rasi kwenye upande wa wa mashariki ya Urusi. Ina urefu wa kilomita 1,250 na eneo la 270,000 km².[1]

Inaenea katika Bahari Pasifiki ikitenganisha Bahari ya Okhotsk na Pasifiki kubwa.[2]

Volkeno za Kamchatka zimeandikishwa katika orodha ya UNESCO ya urithi wa dunia.

Kiutawala ni sehemu ya mkoa wa Kamchatka Krai mwenye wakazi 322,079. Zaidi ya nusu ya wakazi hawa wanaishi katika miji miwili ya Petropavlovsk-Kamchatsky (waakzi 179,526) na Yelizovo (38,980).

Marejeo

  1. Быкасов В. Е. Ошибка в географии // Известия Всесоюзного Географического Общества. — 1991. — № 6. (Kirusi)
  2. "Kamchatka Peninsula". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-02-20. 
  • Gleadhill, Diana (2007), Kamchatka: A Journal & Guide to Russia's Land of Ice and Fire, Hong Kong: Odyssey Books, ISBN 978-962-217-780-2 .

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: