Hans Bethe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 14: Mstari 14:


[[bg:Ханс Бете]]
[[bg:Ханс Бете]]
[[bn:হান্স বেটে]]
[[ca:Hans Bethe]]
[[ca:Hans Bethe]]
[[cs:Hans Bethe]]
[[cs:Hans Bethe]]

Pitio la 01:31, 9 Desemba 2007

Hans Bethe

Hans Albrecht Bethe (2 Julai, 19066 Machi, 2005) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.