Afya : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 6: | Mstari 6: | ||
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana]. |
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana]. |
||
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia. |
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.PAMOJA NA HAYO ILI UUJENGE MWILI UNATAKIWA UWE NA USTADI WA KUFANYA MAZOEZI HATA MAMA MJAMZITO UNAPASWA KUFANYA MAZOEZI KUTOKUFANYA KAZI NGUMU.. NK. |
||
== Fafanuzi za afya == |
== Fafanuzi za afya == |
Pitio la 14:22, 17 Aprili 2016
Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu pia, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Afya ya binadamu itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani chakula chenye virutubisho vyote, vikiwemo protini, wanga na fati [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana].
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya Mwenyezi Mungu kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha dhambi: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.PAMOJA NA HAYO ILI UUJENGE MWILI UNATAKIWA UWE NA USTADI WA KUFANYA MAZOEZI HATA MAMA MJAMZITO UNAPASWA KUFANYA MAZOEZI KUTOKUFANYA KAZI NGUMU.. NK.
Fafanuzi za afya
Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
- Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya ustawi kamili kimwili, kiroho na kijamii na zaidi ya kukosa ugonjwa." [1]
- Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche: "Afya ni kiwango cha ugonjwa kinachoniruhusu kutekeleza shughuli zangu muhimu."
- Mwanasosholojia Talcott Parsons: "Afya ni hali ya mtu kuwa na uwezo bora wa kutekeleza shughuli alizofundishwa kukubali kama wajibu wake."
- Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na maumivu na udhaifu, pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba hisia hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.
Majukumu
Serikali zinatarajiwa kuandaa wataalamu wa mambo ya afya na kujenga hospitali nyingi hata vijijini kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa huduma za afya: hii itasaidia kupunguza vifo.
Watu wanatakiwa kufanya mazoezi kwa wingi na kula mlo bora wakati wote ili kuepukana na magonjwa yanayotokana na ukosefu wa chakula fulani (virutubishi).
Tanbihi
- ↑ http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''
Viungo vya nje
- World Health Organization
- UK National Health Service
- OECD Health Statistics
- Health and Medical Information from the University of Colorado
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Afya kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |