Usafiri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
[[Picha:Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg|thumb|right|Ndege ya [[Boeing 747-300]]]]
[[Picha:Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg|thumb|right|Ndege ya [[Boeing 747-300]]]]


'''Usafiri''' ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.
'''Usafiri''' ni uhamisho wa [[watu]] au [[kitu|vitu]] na [[bidhaa]] kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.


Usafiri unakuja pamoja na [[muundombinu]] kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.
Usafiri unakuja pamoja na [[muundombinu]] kama njia za usafiri, [[vyombo vya usafiri]] na wahusika wake kama makampuni, shirika na [[abiria]].


== Njia za Usafiri ==
== Njia za usafiri ==
Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni
Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni:
* usafiri wa nchini kwa kutumia [[barabara]] au [[reli]]
* usafiri wa nchi kavu kwa kutumia [[barabara]] au [[reli]]
* usafiri wa majini kwa kutumia [[bahari]], [[ziwa|maziwa]], [[mto|mito]] na [[mfereji|mifereji]]
* usafiri wa majini kwa kutumia [[bahari]], [[ziwa|maziwa]], [[mto|mito]] na [[mfereji|mifereji]]
* usafiri wa hewani kwa kutumia [[vyomboanga]] na [[viwanja vya ndege]]
* usafiri wa hewani kwa kutumia [[vyomboanga]] na [[viwanja vya ndege]]
*Usafili wa mabomba ambayo husafilisha( maji,gesi na Mafuta.)
* usafiri wa mabomba ambayo husafirisha [[maji]], [[gesi]] na [[mafuta]].


== Vyombo vya usafiri ==
== Vyombo vya usafiri ==
Mstari 23: Mstari 23:
Usafiri wa hewani hutumia [[ndege (uanahewa)|ndege]], [[helikopta]] au [[ndegeputo]]
Usafiri wa hewani hutumia [[ndege (uanahewa)|ndege]], [[helikopta]] au [[ndegeputo]]


==FAIDA ZA USAFILI==.
==Faida ya usafiri==
*Husaidia katika kufikisha haraka vyakula au matunda yanayooza mapema.
* Husaidia katika kufikisha haraka [[vyakula]] au [[matunda]] yanayooza mapema.
*Husaidia kufikisha haraka habari zilizo kwenye majalida n.k
* Husaidia kufikisha haraka [[habari]] zilizo kwenye majarida n.k.
*huwezesha mahusiano kati ya nchi na nchi.
* Huwezesha mahusiano kati ya nchi na nchi.
*Husaidia biashara za masafa marefu kuendelea.
* Husaidia [[biashara]] za masafa marefu kuendelea.
*Pia husaidia katika maendeleo ya nchi (kimapato)
* Pia husaidia katika [[maendeleo]] ya nchi (kimapato)

{{mbegu}}

[[Jamii:Usafiri|*]]
[[Jamii:Usafiri|*]]

Pitio la 13:50, 16 Aprili 2016

Treni ya Shinkansen nchini Japani
Feri kwenye bandari ya Dar es Salaam
Ndege ya Boeing 747-300

Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.

Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.

Njia za usafiri

Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni:

Vyombo vya usafiri

Vyombo vya usafiri hulingana na njia zinazotumia.

Usafiri wa nchini hutumia motokaa, treni, baisikeli au pikipiki.

Usafiri wa majini hutumia meli, boti, jahazi na mengine

Usafiri wa hewani hutumia ndege, helikopta au ndegeputo

Faida ya usafiri

  • Husaidia katika kufikisha haraka vyakula au matunda yanayooza mapema.
  • Husaidia kufikisha haraka habari zilizo kwenye majarida n.k.
  • Huwezesha mahusiano kati ya nchi na nchi.
  • Husaidia biashara za masafa marefu kuendelea.
  • Pia husaidia katika maendeleo ya nchi (kimapato)