28 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
* [[1954]] - [[Enrico Fermi]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1938]] |
* [[1954]] - [[Enrico Fermi]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1938]] |
||
==Viungo vya nje== |
|||
{{commons|Novemba 28}} |
|||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/novemba/28 BBC: On This Day] |
|||
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/novemba_28 Today in Canadian History] |
|||
{{DEFAULTSORT:Novemba 28}} |
|||
[[Jamii:Novemba]] |
[[Jamii:Novemba]] |
Pitio la 13:12, 16 Aprili 2016
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Novemba ni sikukuu ya Mtakatifu Yakobo wa Marka.
Matukio
- 1821 - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar.
- 1960 - Nchi ya Mauritania inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa
- 1924 - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 1948 - Mgana Izumbe Msindai, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1950 - Russell Hulse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993)
- 1984 - Trey Songz, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
- 1476 - Mtakatifu Yakobo wa Marka, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1694 - Matsuo Bashō, mshairi Mjapani
- 1954 - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938