15 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
* [[1959]] - [[Charles Wilson]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1927]] |
* [[1959]] - [[Charles Wilson]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1927]] |
||
==Viungo vya nje== |
|||
{{commons|Novemba 15}} |
|||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/novemba/15 BBC: On This Day] |
|||
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/novemba_15 Today in Canadian History] |
|||
{{DEFAULTSORT:Novemba 15}} |
|||
[[Jamii:Novemba]] |
[[Jamii:Novemba]] |
Pitio la 12:54, 16 Aprili 2016
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1926 - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour (kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926), mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani.
Waliozaliwa
- 1397 - Papa Nikolasi V
- 1862 - Gerhart Hauptmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912)
- 1874 - August Krogh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920)
- 1931 - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 1933 - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1968 - Ol' Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1976 - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya
Waliofariki
- 1280 - Mtakatifu Alberto Mkuu, O.P., askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Ujerumani
- 1630 - Johannes Kepler, mwanafalaki kutoka Ujerumani
- 1839 - William Murdock, mhandisi Mwingereza, na mvumbuzi wa taa ya gesi
- 1885 - Yosefu Mukasa Balikuddembe, mfiadini wa Uganda
- 1916 - Henryk Sienkiewicz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1905
- 1919 - Alfred Werner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913
- 1959 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927