Falsafa ya dini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Falsafa ya dini''' ni [[falsafa]] inayofikiri na inayohamasisha watu kwa kuongozwa na [[dini]] fulani.
'''Falsafa ya dini''' ni [[falsafa]] inayofikiri na inayohamasisha watu kwa kuongozwa na [[dini]] fulani.


Inaweza kufanyika kwa kuzingatia [[ukweli]] ulivyo, lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika [[imani]] hiyo.
Inaweza kufanyika kwa kuzingatia [[ukweli]] unavyojulikana na akili, lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika [[imani]] hiyo.


Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile:
Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile:
*[[Falsafa ya Kibuddha]]
*[[Falsafa ya Kihindu]]
*[[Falsafa ya Kihindu]]
*[[Falsafa ya Kibuddha]]
*[[Falsafa ya Kijaini]]
*[[Falsafa ya Kiyahudi]]
*[[Falsafa ya Kiyahudi]]
*[[Falsafa ya Kikristo]]
*[[Falsafa ya Kikristo]]
*[[Falsafa ya Kiislamu]]
*[[Falsafa ya Kiislamu]]
*[[Falsafa ya Kijaini]]
*[[Falsafa ya Kikalasinga]]
*[[Falsafa ya Kikalasinga]]



Pitio la 15:14, 10 Aprili 2016

Augustino wa Hippo alivyochorwa na Philippe de Champaigne (karne ya 17). Falsafa ya askofu huyo mwenye akili kubwa ajabu iliathiri sana Ukristo wa magharibi na ustaarabu wote uliotokana nao.

Falsafa ya dini ni falsafa inayofikiri na inayohamasisha watu kwa kuongozwa na dini fulani.

Inaweza kufanyika kwa kuzingatia ukweli unavyojulikana na akili, lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika imani hiyo.

Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile:

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.