26 Juni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
* [[2007]] - [[Amina Chifupa]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]] |
* [[2007]] - [[Amina Chifupa]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]] |
||
==Viungo vya nje== |
|||
{{commons|Juni 26}} |
|||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/Juni/26 BBC: On This Day] |
|||
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/Juni_26 Today in Canadian History] |
|||
{{DEFAULTSORT:Juni 26}} |
|||
[[Jamii:Juni]] |
[[Jamii:Juni]] |
Pitio la 14:20, 9 Aprili 2016
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1945 - Umoja wa Mataifa unaanzishwa mjini San Francisco na kuchukua nafasi ya Shirikisho la Mataifa
- 1960 - Kisiwa cha Madagaska kinapata uhuru kutoka Ufaransa
- 1960 - Somalia ya Kiingereza inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
- 1581 - Mtakatifu Petro Claver, padri mmisionari wa Shirika la Yesu kutoka Hispania
- 1892 - Pearl S. Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 1937 - Robert Richardson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1941 - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 1942 - Gilberto Gil, mwanamuziki na Waziri wa Utamaduni nchini Brazil
- 1966 - Adam Kighoma Malima, mbunge wa Tanzania
- 1970 - Sean Hayes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Samir Nasri, mchezaji mpira kutoka Ufaransa
Waliofariki
- 1541 - Francisco Pizarro, aliyevamia Peru na kuharibu Dola la Inka, anauawa mjini Lima
- 1943 - Karl Landsteiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 1975 - Mtakatifu Josemaría Escrivá, mwanzilishi wa Opus Dei kutoka Hispania
- 2007 - Amina Chifupa, mbunge wa Tanzania