Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

Jump to navigation Jump to search
72 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[File:Ford Tractor with ROPS bar fitted.JPG|right|thumb|[[Trekta]].]]
'''Kilimo''' ni [[uzalishaji]] wa [[zao|mazao]] kwenye [[shamba|mashamba]].
'''Kilimo''' ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamaba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na [[ufugaji]] wa wanyama.
 
'''Kilimo''' ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamaba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji [[mimea]], [[ufugaji]] wa [[wanyama]], na [[uvuvi]] wa [[samaki]]. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na [[ufugaji]] wa wanyama.
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha kibindadamu na lishe ya wanyama lakini pia kwa shabaha ya kupata malighafi mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza nguo za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
 
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi [[mavuno]] hasa kwa uzalishaji wa [[chakula]] cha kibindadamu[[binadamu]] na [[lishe]] ya wanyama, lakini pia kwa shabaha ya kupata [[malighafi]] mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza [[nguo]] za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
Serikali zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]].
==kilimo==
kilimo ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake,pia kipato hicho husaidia katika kukuza uchumi wa nchi yake .
Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe [[kipaumbele]] sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]]. Pia serikali itoe elimu juu ya kilimo bora kama kitega uchumi ambacho huwasaidia watu kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha maisha yao binafsi. Pia mazao hayo husaidia kuongeza uchumi wa nchi ili hatimaye zitakuwa zimejikomboa kiuchumi.
 
Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
Katika sekta ndio kiinua mgongo au kiinua uchumi kikubwa hasa kwa mataifa mengi
 
==Katika uchumi==
kilimoKilimo ni mojawapo ya [[shughuli]] za mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake, pia kipato hicho husaidia katika kukuza uchumi wa nchi yake ili hatimaye itakuwa imejikomboa kiuchumi.
 
KatikaSekta sektahiyo ndio kiinua mgongo aundiyo kiinua uchumi kikubwa hasa kwa mataifa mengi.
 
Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe [[kipaumbele]] kwa sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]].
 
[[Serikali]] zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]].
 
Pia serikali itoe [[elimu]] juu ya kilimo bora kama [[kitega uchumi]] ambacho huwasaidia watu kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha [[maisha]] yao binafsi.
 
== Historia ==
Watu walianza kulima takriban miaka 10,000 iliyopita na kabla ya hayohapo watu walivindawaliwinda tu na kukusanya [[matunda]]. Kuna vikundi vidogo ambavyo vinaendelea na maisha haya hadi leo, lakini siku hizi zaidi ya [[asilimia]] 99 yaza binadamu hupata chakula kutokana na kilimo.
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zake. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[China]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]].
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zao. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[ChinaWataalamu]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]]. Wataalamu hawakubaliani kama kilimo cha [[Afrika]] kina asili yake huko Mashariki ya Kati au kama ilianzishwa [[Bara|barani]] peke yake.
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Kilimo|!]]
[[Jamii:Uchumi]]

Urambazaji

Maeneo ya wiki

Vibadala

Zaidi